In less than 24 hours, Kenyans through Eric Omondi's Sisi Kwa Sisi initiative have raised 8.8 Million Kenyan Shillings for Bryson Makokha Simiyu from Bungoma.
Eric Omondi has already started building 2 houses for them.
@Hon_KibayasiF Watu wengine hawapo tayari kufanya biashara kwa muda fulani. Ili kukwepa risk wanatunza pesa kwenye such schemes, lengo hasa si faida kubwa.
Tundu Lissu. The man, the myth, the legend.
Leo Mahakama Kuu, Tundu A.M Lissu alikuwa anawasilisha hoja za mwisho za utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili aliyoshtakiwa na Jamhuri.
Tundu Lissu ametumia jumla ya dakika 349 kuwasilisha final submission yake kwa siku ya leo pekee na bado hajamaliza hoja zake zote.
Tundu Lissu ameanza kuwasilisha hoja zake kutoka saa 9:30 asubuhi hadi saa 13:32 mchana ambazo ni jumla ya dakika 242 (sawa na saa 4 na dakika 2).
Halafu, akarejea mchana baada ya kutoka health break. Kutoka saa 15:24 alasiri hadi saa 17:11 jioni ni jumla ya dakika 107 (sawa na saa 1 na dakika 47).
Kumbuka, Tundu Lissu anasimama dakika zote akiwa na majeraha ya kutisha ya risasi mwilini kwake, oparesheni 21 na risasi nyingine mgongoni.
Anyways, bado TAL hajamaliza final submission yake. Tutaendelea kesho na kwa kuwa hukumu ya kesi hii ni kunyongwa hadi kufa TAL amesema
“Kwa kuwa adhabu ya hukumu katika kesi hii ni kifo, mimi nitajitetea kwa kila kitu nilichonacho. I will defend myself with everything I’ve in my books”
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Mtaalam wetu wa uwekezaji wa masoko ya Hisa amecharuka😁🙌.
Wazee wa Kariakoo na Sinza acheni kuponda UTT. Aidha, ameshauri kufanya diversification.
Changamoto kwa vijana ni kuchagua kipi kianze kati ya Biashara na Uwekezaji.
Kipi kianze wakuu?