@SBarabojick@IAMartin_@kitilam@judiciarytz Uko sahihi kabisa, kuna kitu lazima turekebishe ili kuwakikishia wawekezaji kwamba watapata haki yao ya kisheria. Case hizi zinaweza kutumiwa na wawekezaji kama mifano ya kuilezea Tanzania ilivyo na mifumo mibovu ya utoaji haki mahakamani.
Tanzania's Rungwe District in Mbeya Region is a hidden gem. It is a stunning destination for agro-tourism, offering opportunities you shouldn't let pass you by. Only in Tanzania can you holiday while researching wealth creation! It's simply unforgettable! Agrotourism is growing!
KASI ZAIDI ya kuvutia uwekezaji kutoka INDIA
Tumeingia makubaliano ya kuvutia uwekezaji kutoka Jimbo lenye viwanda vingi la Haryana, nchini India.
Lengo: Kuanzisha Kongani Maalum ya Viwanda kutoka Haryana ili kuleta viwanda vipya vitakavyozalisha AJIRA nyingi zaidi
#Uwekezaji
TARI na Kampuni ya "Ward holdings Tanzania" (WHT) zimekubaliana kuandaa Mkataba wa mashirikiano ya kuongeza thamani katika zao la korosho kwa kutengeneza bidhaa zinazotokana na bibo la Korosho zenye kukidhi mahitaji ya Soko la Dunia.@tzagriculture
Cashews from Tanzania directly to the US market.
This a milestone we are proud of and working to continue building other products and other markets in the world.
Our goal is to be leading food growers, producers, and exporters.
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe akimkabidhi zawadi ya Korosho na Mvinyo Rais wa AGRA Bi. Agnes Kalibata.
Tukio hilo limefanyika leo Oktoba 13, 2022 katika ofisi za Wizara ya Kilimo Mkoani Dodoma.
"Vikwazo vya kodi viondolewe ili kusaidia wafanyabiashara wa Tanzania na Zambia."
~Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
@SuluhuSamia@HHichilema@TZMsemajiMkuu
Chanzo:- Habari Maelezo
Tumeanzisha rasmi kituo cha huduma kwa wateja wa Sekta ya Kilimo.
Lengo ni kutoa nafasi kwa Wakulima, Wauzaji wa pembejeo, na Watoa huduma wengine kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo kupiga simu bure ili kupata taarifa za kilimo na majibu ya kila changamoto wanayokutana nayo.
36 MOUs were just signed at the Expo 2020 Tanzanian Business Investment Forum with an investment total of 7.49bn USD and projected job creation of 204,575. There is strong public and private sector connectivity and commitment to developing Tanzania’s economy.
@MO_jr_ @HusseinBashe@NorAmbTz Hongera sana Mhe Waziri kwa kazi nzuri ya kuendeleza kilimo hapa TZ. Mhe naomba kama Wizara imeandaa detailed report ya post harvest losses kwa kila zao basi watupatie. Kuna wawekezaji wanataka kuwekeza kwenye area hii ya post harvest losses but wanakwama.