Karafuu-Moro:
Chapisho la Banzi -2016 (https://t.co/8q961C54hx) linakosoa sn imani kuwa ni Tz-Visiwani pekee kunastawi Karafuu. Kijijini Konde (Matombo) maisha ya wakulima yamebadilika sn tangu walipoilima. Lazima yapo maeneo mengi Tz ambamo karafuu inastawi pia!
Niwashauri wanachadema wote tuanzisha kampeni nchi nzima inayosema #FutaItvNaEatv#KwenyeKing'amuzi #Chako.
Ili kupinga kitengo cha kumubagua @TunduALissu kuanzia mapokezi yake mpaka Leo alivyoanza kuongea tu kwenye Mkutano mkuu wa ACT wakakata matangazo yao.
#SasaBasiItv

@mpambazi_ I said thank me later bro!!
Siasa zitaathiri biashara yako!!
Wewe ni mjasiriamali unayechipukia!!
Issue za siasa hata kama unaiona ni ndogo kiasi gani,achana nazo!!
Anyways nilitoa mtazamo wangu tu!! Usiku mwema!!