@amdully@MsigwaPeter Mjusi kajipaka masizi!! Hahahahahahahahaahahaha!! Dah!! Nimeisoma hii saa sita usk nimecheka balaaa!! Nahis watu watajua nimechanganyikiwa!!
@zittokabwe Mheshimiwa huko kwenu bado zile mbegu za mahindi ya kienyeji zinapatikana? Kwa maana hizi mbegu za sasa ukichelewa kuvuna unakuta mahindi yamebanguliwa na wadudu shambani!!