@FabrizioRomano Even if we are at bad position and i’m mad u left out…… world cup is nothing…….WE STill
LIKE YOU💙💙💙 ……. Thank you for ur hardworking😭😭😭😭😭😭😭
@SimbaSCTanzania Mechi ya leo tumeipa jina la Yanga day kwaajili ya ndugu zetu kujifunza……malecturers watakuwa na slides nyingi wawe makini kupata somo ASANTE.😂😂…….N.B Peni na madfatari ya notsi mtayakuta uwanjani
@TMnyama4_ Skia sa nimpe mbinu amuite fundi umeme apande juu ule waya wa socket aulete kwanza kwako kabla ya kwenda kwake aweke switch kwako mda ambao anazingua we unazima umeme kwake hauendi atanishkuru🚶🏻♂️😂😂
@IAMartin_ Sio kama tanesco inapenda kufanya ivi inakosa mapato mengi ikikata umeme lakini kitaalam inafanya ivo kwa mahesabu ili taifa zima lisije kosa umeme kwa kipindi kirefu naomba kuwasilisha ASANTE