Conquering new heights. Mount Kilimanjaro, Africa's tallest peak, now boasts high-speed internet at its summit thanks to Tanzania's ICT broadband backbone network project, deployed by TTCL and supported by #Huawei. More details here: https://t.co/9fEsC0Gncs
#ConnectNewHight
@EduTalkTz@SuluhuSamia Kuna tatizo la uelewa na ufahamu, naona mikataba isiyo na maslahi kwake tuu ndo anaiona hovyo, ile yenye maslahi kwake atatumia nguvu nyingi saana kuilinda hata kama ni ya hovyo
πππππ€ͺπ€ͺ mzee naona ameliweka suala la Bandari kimkakati
Eti wakitajwa wala Rushwa unasikia wanamsema hata Rais , Ndiooooo mimi mzee kazi yangu kuwaambia π
Kama Samia ana hekima iliyobaki ameelewa , tuko naye bampa to bampa
Nimepokea simu kutoka kwa Alloyce Nyanda producer wa kipindi cha Agenda kinachoruka kupitia Star TV, akiniomba nisiende kwenye kipindi hicho leo kwasababu amepokea maelekezo kutoka juu kupitisha mjadala huo.
Ikumbukwe kwamba tulipanga kujadili mkataba Tata wa kuuza bandari zetu.