@manywele_ze Sisi tunataka badiliko hata watuuwe wote
Ila MUNGU atamuhesabia haki kila mmoja wetu
Ila wakumbuke kuwa hii Dunia nifupi sana
Madaraka na mali zote ni za muda tu
Ukweli utabak kuwa ukweli
Tunataka mabadiliko tunataka viongozi wanaolinda na kuheshimu katiba ya tanzania
@TzAstra2014@tanpol Dah!!!! Hii nchi imekuwa ya aina gan na viongozi wake
Watu wanakufa na kutekwa lakin serikali haiawah kuweka wazi ninani au ni kikundi gani kinateka na kuuwa watu
Hivi kazi ya Usalama wa taifa nnini????
@Sativa255 Wanapoteza muda na kusogeza siku mbele
Lissu ana mawakili wakutosha na wabobevu
Yeye mwenyewe ni wakili msomi
Kumshtak lissu ni sawa na kumfanya atumie uwezo wake wa kisheria
@mshambuliaji Maulid hacha kupotosha watu
Mazungumzo yote tunayajua waliongelea kitu gan
Wewe taharifa yako umeongeza chumvi,kulikuwa na umuhim gan kuongelea ushoga wakat agenda kuu ni kuhusu tanzania
@TanzaniaLeaks Tanzania yetu niimara haiingi akilini mpaka leo vyombo vya usalama havijuhi wasiojulikana ni wakinani!
Inashangaza sana nini maana ya wao kuwepo kazi yao nnini?
Wanachi wanaumizwa,wanauwawa alafu serikali inasubutu kusema watu wasio julikana🙌
Kazi ni kukimbizana na chadema.
@HusseinMchomol1@TanzaniaLeaks Wewe inatakiwa ukapimwe akili na upelekwe mirembe,akili yako wewe ni mgando kabisa tena inatakiwa hata comment yako isionekane kwa upumbavu ulioandika hapo
Ingekuwa na juma amefanyiwa hivyo usingeongea pumba.
@PMadeleka Watanzania bado tupo chini ya kapeti
Tutapata shida zaid ya miaka 5 mwaka wakufanya mabadiliko tunadanganywa kwa kofia vitenge na t shet
Tunasahau mateso ya miaka mitano.