PSALMS 34
4 I sought the LORD, and he answered me; he delivered me from all my fears
5 Those who look to him are radiant; their faces are never covered with shame
6 This poor man called, and the LORD heard him; he saved him out of all his troubles
THANK YOU FOR ANOTHER YEAR!!💪
@jaliluzaid Ngozi nyeusi tunayo roho ya uharibifu....wengi wetu hatuwezi kuona kitu kizuri tukakiacha kilivyo, tusipoiba tutakiharibu ili mtumizi anayefuata akose!! Utunzaji ni utamaduni tunapaswa kujifunza kuanzia ngazi ya familia
@MalemboLE Na wote tukifanya hizo kazi wanazoziona za heshima zaidi....nani atafanya hizo zisizo za heshima?? Hata mbinguni kuna malaika wadogo na wakuu! Tukiheshimu mgawanyo hatutadharauliana maana kila kazi inampa mtu mkono kwenda kinywani...