@Mwatexi@pastajoshuatz Yes, barabara ni mbovu ila na madereva wa mabasi wanakimbia sana usiku. Wanatembea bila tahadhari huku wakijua fika barabara haziko salama.
• Reporter: “Are there any teams you particularly enjoy watching?”
🚨🗣️ 𝗡𝗘𝗪: Lamine Yamal: “I like watching Real Betis, and I really enjoy Villarreal too..."
"In the Premier League, I WATCH EVERYONE. Every Premier League game feels really entertaining to me."
“You can sit at home in the afternoon and just enjoy the football. In La Liga, BETIS AND VILLARREAL are the two teams I enjoy watching the most."
@George_Ambangil I wonder why hawamtumii kama inverted LB, his passing is extraordinary. With freedom to roam in the middle, he can break defence lines easily in that role.
@fifi_brian Ni ngumu sana kuwa na two top GK’s wakawa satisfied. Rotations kwenye hiyo nafasi ni finyu sana, mostly kwenye cup games ambazo ni chache.
Unaweza ukafanikiwa msimu mmoja, unaofuata GK mmoja atataka kuondoka. Ndio maana GK no.2 wengi ni wa kawaida ukilinganisha na no.1
@Thereal_taivina Hii ya kusema kwamba Quality ni ileile ni story za kujifariji tu. Ukishatumia zote ndiyo utajua utofauti uliopo ni mkubwa, yoyote mwenye PESA atanunua OG.
@BaricKGL Wako na dunia yao kule, kama ni mtu wa bata ukienda mara moja lazima urudi tena 😂
Tunaweza pabadilisha ila kuwafikia/kuwapita itatubidi tutelekeze mila na tamaduni zetu. Sana sana kwenye uhuru wa mavazi na starehe.