MKALI WA APOCALYPTO
Thread..
Jina Halisi Ni Rudy Youngblood,Alizaliwa Huko Belton,Texas_Marekani,Mwezi Septemba Tarehe 29 Mwaka 1982,Hawa ndo walatambulika kama (Native Americans)Wazawa Halisi Wa Ardhi Ya Marekani.
Mbali na Uigizaji Filamu,Pia Mkali Ni Mwanamuziki SONGA NAYO👇
Mungu Akuongoze Ukaguswe Na Hili Na Uweze Kuigusa Familia Hii!
Hussein Alizaliwa Mzima Kabisa,Lakini Leo Hii Hana Fuvu La Mbele, Ni Baada Ya Kupata Ajali Ya BodaBoda!
Tumtie Nguvu Kwa Sala,Maombi Na Chochote Kitu Mama Yake Hussein Ambaye Anamuuguza Mwanaye Zaidi Ya Mwaka Sasa.
"Nataka Waziri wa Ujenzi aniambie ni lini kipande cha barabara cha Makongo Juu kwenda Chuo cha Ardhi kitakamilika na kwa viwango vyote,"- @halimamdee#Bungeni
Hii habari haijakamilika...Millard waambie pia kuwa hiyo "new variant" imekuwepo toka miaka ya 90 ila Imethibitishwa hivi karibuni...pia uwaambie kuwa sio tishio kubwa kwa jamii sababu dawa zinafanya kazi effectively sawa kwa variants zingine na guidelines pia zimebakia the same
"Taarifa za kitafiti zinasema kila mwaka tani milioni 3 za udongo zinaingia kwenye Ziwa Victoria na kulipunguzia Ziwa hilo kina cha maji, serikali ina mpango gani wa utekelezaji wa mtandao wa maji wa Kitaifa ili kuweza kupunguza presha kwenye Ziwa,"- @hpolepole#Bungeni