@YoungAfricansSC Picha inatisha hii...haya maneno eti, "sina mengi ya kusema, tukutane Mkwawani", mi naogopa aisee..Kesho wanakula 7 hawa ndugu zetu....
@YoungAfricansEN Huyu Kijana is My best player...Composed, disciplined, God Loving......Yani simply the best.....Nimehamia Yanga kwa Maxi...siyo ya Kina Priva
@Kenyans ...The Hate to this lady is of a highest order, I think you shouldn't be doing that, better keep quiet than insulting her on how she looks like etc.
@PKishamba@ImbenziFranklin Wasimuuuwe tu haki ya nani......Huyu namwona mboga kweli Prisca......sema ndo kama vile akifa ni kama hajafa na akiwa hai ndo kama kafa.........Heri zote kwake
@Hakingowi Hivi hawa watu wanapata wapi mandate hizi za kutupangia maisha hikasi hiki???? Kodi, Tozo, etc makato makubwa sana baado mnataka tukubali tuuu na kunyamaza..Nchi haijengwi siku moja......
@Tanfootball@TaifaStars_@azamtvtz@CAF_Online Kama tuna weka Pesa ya Tozo basi iwe ni pamoja na kuandaa mambo ambayo yanabeba nembo ya taifa, embu sasa turudi kwenye drawing board tujipe hata miaka mitano tusishiriki hizi mambo tuandae timu yetu ya taifa, hizi fedheha sasa basi aiseee...I am fed up...
@Hakingowi Dada Haika, Upo sahihi sana lakini some measures kama matozo haya yanaweza yakasubiri kidogo hata basi dunia itoke kwenye crisis....Life ni gumu eti,....