@saitech_hack Alafu ghafla unaambiwa alikuwa na tatizo la mfumo../sijui battery halikuwa na charger. Japo navyofahamu, baada miaka kidogo tutajua ukweli wa mambo ulivyokuwa mpaka kuwa ghafla kiasi kile. (Kila kovu lina historia yake!)
Hiii ni akiri kubwa kabisa yani ni dhambi akiri kama hii kuwa nje ya mchezo aisee hii ni moja ya karata kubwa ambayo ccm inabidi ijivunie aiseeee @JMakamba
@Maestrowafact Kuna tofauti kati ya kusafili naye na kualikwa magogoni maana kwa miaka ambayo baba Yao amekaa magogoni ni kwao emu tupe picha ya nje akiwa amesafiri naye
Mimi kweli moja ya jambo amabalo huwa nashindwa kuelewa kuwa ugomvi wetu wa ndani tuna mplekea Usa je? Yeye ana msaada gani? Na sisi na je? Akitoa msaada tunaoutaka sisi tunamlipa mini kama returns ya nguvu aliyotumia kutupa msaada maana duniani hakuna cha bure
It was an honor to meet with Senator @tedcruz alongside members of the Tanzanian community in Texas. During our brief meeting, we thanked and expressed our appreciation to Senator Cruz for standing up for and championing religious freedom and human rights for all Tanzanians. Religious freedom knows no borders.
We also commended him for the bipartisan bill in the Senate aimed at holding the samia suluhu hassan regime accountable for its human rights abuses and atrocities.
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu #ReligiousFreedom #SamiaMustGo
Huyu January analiona mbali sana imagine hii ni hutuba ya 2015 lakini Leo inafaa kabisa kuwa hutuba Bora ya 2030 Nape aliwai kusema pahara huyu January ana akiri sana #hiinchibadoinamtajiwaviongozi
Ni Mahojiano yake ya kwanza toka Ateuliwe kama Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi @ccm_tanzania Taifa Ndg. Dkt. Asha, Rose Migiro na ameketi na #MFALME@Salym amezungumzia mengi ikiwemo kusikitishwa na matukio ya Vurugu za Uchaguzi wa Oktoba 2025.
Usikose kusikiliza @kasri_crown Jioni hii Kuanzia Saa 12:00 Jioni Kupitia @crownfmtz
🎥 @jackie_beatus
Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍