NUKUU YA LEO: “Usitarajie chochote kutoka kwa mtu yeyote. Hakuna uhuru mkubwa maishani kama kujihudumia na kujali maisha yako bila kumtegemea mtu.” - Mooji
@Abraha1Brighton Kuna mmoja nilikuwa nakutana nae sana road na hizo sifa ila siku nlimpomsogelea na kudate nae akanipa hilo file aah nkaishi na 50 zangu
Gawdamn Fatima
Moja Ya TWIST Kubwa Ambazo Zimeshatokea Kwenye Mji Wa FROMVILE Hii Ilikuwa Unexpected Turn
Je Fatima Atakuwa Kizuizi Au Na Yeye Mwishoni Ataathirika Na Hali Ya Mji Na Kuwa Monster Moja Kwa Moja
Season 04 Imeisha Na The BIGGEST Cliffhanger
Msimu Wa 5 Ni Wa Moto!
Hongera @fistonmayele9 kwa kufunga bao lake la kwanza kwenye Fainali za Kombe la Dunia. Ameandika historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kuwahi kucheza Klabu yetu na Ligi Kuu Tanzania kufunga bao katika Fainali za Kombe la Dunia. 👏💛💚
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko