@amina_hafidh@SalumuHassanali@husseinmsafi Sasa kwenye kwanini wasalimishe hizo ni taratibu ambazo zipo kwa wote waliopata umiliki wa silaha kwa muda mrefu kuna taratibu za kupeleka silaha zako kwa ajili ya uhakiki
@amina_hafidh@SalumuHassanali@husseinmsafi Sio kanisa Tu hata wewe ukihitaji kumiliki silaha inawezekana kikubwa ukidhi vigezo na masharti utapewa umiliki na taratibu za kutumia hio silaha
Mashabiki wa Simba tusiwe wepesi kujaa upepo maana nawaza zile nafasi alizo kosa Shalulile angekosa Doumbia sijui ingekuaje
Mark my words 26/27
Doumbia anamaliza na goli 10+π
Mbuzi wa kafara, inawezekana bado hajatoa kile kilichotarajiwa ila tukiamua kumuangushia jumba bovu Doumbia ni kujidanganya wenyewe na kuyafunika matatizo halisi ambayo
kutengeneza chances za kutosha hatujafikia level za kua na striker wa one chance one goal, hatuwezi kumtegemea chama kila game kwakua siku game ikimkataa shughuli imeisha
@cleansheet_1 Tunapewa pressure na mashabiki wa timu pinzani kiasi kwamba tunaamini striker wetu ni mbovu ila striker wao ndo amekosa clear chance kumzidi Doumbia
Trust me huyu anamaliza msimu na 10+ goals