Kuna hizi Video za Watoto waliomaliza K.4... Nimeona Video 4 kama sijakosea.
Katika video 4, 3 za Mabinti na moja ya Watoto wa Kiume....
1. Video ambazo zimejaa Matusi sana ni za watoto wa Kike. Ambao tunadhani hawa ndio Mama wa watoto....
2. Video ya watoto wa Kiume ina Matusi kidogo lkn zaidi ilijaa maneno ya Upambanaji ktk Betting
3. Ktk Video ya Mabinti wamejielekeza zaidi ktk kwenda kufanya Umalaya, wakati watoto wa kiume wamejielekeza kuingia mtaani kupambana kupitia Kamari.
Huko mbeleni kuna Mtihani mkubwa sana.
BRO TO BRO
Hakuna kitu kinachomuua Mwanaume haraka zaidi ya uzito wa mawazo yake mwenyewe.
Tulia. Usijisumbue na mambo yasiyo katika uwezo wako.
Dear Bro,Nakusihi sana!.
Ndugu zangu, leo tukaianze tena safari yetu ya matumaini tutakayohitimisha 29/09
594EQ9
Tutakuwa tunaichambua hatua kwa hatua pamoja na kila hatua nitaiweka hapa mpaka tunafikia msimbo wa mwisho hapa hapa
Inabidi kufanya hivi maana nimeona katika hatua za kuchambua katikati humo ndimo kunatoka msimbo wa ushindi badala ya kuwaletea tu final draft ambayo wakati mwingine inaanguka na kubaki usiyoitegemea
Lets go
China,Korea,Japan,India,Vietnam,Hongkong,haya mataifa yanaabudu sanamu hayana Quran wala Biblia na wameendelea kuliko sisi tunaosubiria kwenda mbinguni🥸