Mwandishi wa Habari Eugen Peter anatafutwa na Familia yake pamoja na Ofisi yake ya @AyoTV_ Dar es salaam baada ya kutoweka bila kujulikana alipo leo ikiwa ni siku ya tisa.
Mara ya mwisho Eugene alionekana mazingira ya nyumbani kwake Jumapili December 29,2024 majira ya saa mbili usiku.
Familia akiwemo Baba yake Mzazi na Watu wa karibu wamethibitisha kutokuwa na mawasiliano naye tangu wakati huo ambapo Dar es saalam hajaonekana na kwao Arusha na Moshi hajafika huku simu zake zikiwa hazipatikani.
Baada ya jitihada kubwa za kumtafuta maeneo mbalimbali na kutoa taarifa ya kupotea kwake Polisi, AyoTV na Familia kwa pamoja tunaomba Mtu mwenye taarifa kumuhusu apige simu namba 0748400047 au aripoti kituo cha Polisi kilicho karibu nae.
#MillardAyoUPDATES
@EngJubel Yote ya yote haya mambo ndo conspiracy zinazotumiwa na wenzetu
Vitu kama time travelling, ku-crone watu... nadhani ni siri ambazo hatutakiwa kuzijua na tukijua basi wao watakuwa sawa na sisi, ndio maana mimi binafsi sihamini kuhusu ishu ya uwepo wa Alien kule area 51
@EngJubel Uzi mzuri ila nachoona hapa unachanganya time travelling na kitu cha kudhani kuwa umewahi kuishi nyuma wengi wanaita Deja Vu
Mfano huo mfano wako wa mtoto na huo wa Ozil ni Deja Vu
Sekunde ya 43 anamwambia Manzi "ni dhairi nakiri bwana akulipa ata Bill, si siri kwa hili Penzi kufa nilitabiri"
Uko mbele Mixer kumkandia mara kaathirika, mara mswahili
Najua kuna baadhi ya wanatuua sana zaidi ya hapa😃
Bakora namba 6 kwenye Album ya Nipeni Maua Yangu ya @Roma_Mkatoliki kamkandia sana Mwamba kwa yule binti
Sekunde ya 37 anasema "sijui kwako alikosa nini mwana ame-cheat kizembe, na ndo ulikua una muweka mjini, sasa atakoma na nenge"