Hoja ni ‘uchungaji’ unaingia darasani. Pia ‘utangazaji’ ni taaluma na unahitaji vyeti.
Kujua kila kitu ni TATIZO kama unavyosema, nakubaliana na wewe. Mtu mmoja anakuwa kama SPANA MALAYA
“mchekeshaji, muigizaji, mwanamuziki, mchungaji, mkulima, mtangazaji, mwanasiasa, mpambe”
Ndugu yangu , Mungu akisema Ndio hakuna wa kupinga, Rais anapiga Magoti kwa watumishi wa Mungu , mwamba Mungu ampe maisha marefu sana siyo Kama Yule wa Mongolia anayebeba kiti chake mpaka hekaluni
Rais wa mpito wa Gabon ametoa masaa 24 kwa viongozi wote wa Serikali kusalimisha pesa na Mali walizowaibia wananchi, amesisitiza wakikaidi amri hiyo watanyongwa hadharani.
Leo kanisa katoliki Parokia ya Mafinga limesoma WARAKA wa maaskofu wetu.
Kupitia paroko wetu, waraka umesomwa taratiiibu bila kukosea wala kuruka hata neno moja.
Pamoja na kutusomea waraka huo,ameagiza jumuiya zote parokiani ziusome na kuutafakari waraka huo kwa makini.......
Wakili @PMadeleka yuko kwenye kuta za magereza kwa sababu tu alimkosoa Rais @SuluhuSamia kwenye mkataba mbovu ambao serikali yake imeingia na DP World. Wakaona ni heri kumnyang'anya Madeleka uhuru fake waliompa kwa plea bargain, lakini hilo halituzuii kumwambia Samia katukosea.
One of the major problems in #Tanzania 👇🏾
Thin skinned politicians! ‼️🙄
Kiongozi wa umma kama unashindwa kuvumilia comments na matusi - zima data! Na usitake kusimuliwa
Ila usitumie madaraka yako makubwa kumtesa mtu mdogo kwa sababu hupendi anavyokukosoa!
Be a true leader!
' Waziri Nape alaani waandishi wa Mwananchi,dereva kushambuliwa '
@Nnauye_Nape siku hizi mnaishia kulaani tu,hamna uwezo wa kukamata wahusika ?
Acheni UHUNI. Wahusika ni ninyi CCM.
“Tunataarfia za ndani kwamba, watesi wachache wanaotumiwa kwa maslahi yao binafsi, wanaotuwinda, wanapigwa vita na Usalama wa Taifa wengi kwenye sakata la bandari” - Alphonce Lusako
#Tanzania 🚨
Tanzania to pay shareholders of Ntaka Hill Nickel Project more than 109.5 million $ in compensation plus 3 million $ in legal fees
Shida ipo!
Serikali ya CCM inapenda kukurupuka! 🙄 Haya mlimsifia Magufuli alipokurupuka kufukuza wawekezaji bila kutumia busara na tulionya mikataba hii itatugharimu
Sasa @SuluhuSamia kaja na mkataba mbovu ZAIDI alafu mnalazimisha tuendelee nayo?!
Someni sababu ya kulipa milion 109.5 ni nini?
👉🏽 fidia ni USS76,706,461 in
damages and additional losses, alafu kuna riba (compound interest) ya 2% ya kiasi hiki cha awali kinachohesabiwa tokea 10 January 2018 hadi tutakapolipa
Futeni huu mkataba wa DPWorld SASA ❌ msituletee headache
Bunge lirudi na kufuta mkataba huu!
Huyu anaitwa mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile na yupo katika maombi ya kuangusha utawala WA spika wa @BungeTanzania ndugu @TuliaAckson Ndugu zangu Watanzania mbele ya Mungu hakuna linaloshindikana? Mimi namuunga mkono mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile Kwa asilimia 💯✍️
"Nipotayari kukaa kituo cha Polisi hata mwaka mzima, ila sipo tayari kwenda nyumbani kwangu kusachiwa na Polisi ambao mwanzo walinibambikizia kesi ya madawa ya kulevya na Mahakama ikathibitisha hilo" Mdude Nyagali akiwa ndani ya kituo cha Polisi Mbeya.
Mzee butiku
One of true image of Mara man
"Kuna makosa fulani fulani
Katika mkataba
Ni makosa katika eneo kubwa
Kusahihisha huwa Kuna gharama
Serikali iachane na swala hili "
Public opinion imekataa
Ikufikie
Madam president @SuluhuSamia
Mtetezi wa HAKI za watu, MDUDE NYAGALI anahitaji KUTENDEWA HAKI. Itakapofika KESHO saa TATU ASUBUHI @tanpol HAWAJAMUACHIA MDUDE NYAGALI, nitaongoza MAWAKILI WAPENDA HAKI KWENDA MAHAKAMANI KUDAI UHURU WA MDUDE NYAGALI.