SEHEMU YA KWANZA.
Mwili wa binadamu unaseli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta,
Zilizogawanyika katika sehemu mbalimbali,
Kwa mwanamke seli hizo zipo sana katika maeneo ya makalioni, matiti, kwenye nyonga na kiunoni.
Kwa mwanaume seli hizo hupatikana kwa kiwango kikubwa kwenye kifua, Tumboni na kwenye Makalio.
Mafuta ya tumbo yanapelekea kitambi hukusanywa kwa njia kuu mbili.
1. Mafuta kutoka kwenye tishu zilizo chini ya ngozi.
2. Kutoka kwenye ogani za ndani kama, Moyo, Kongosho N.k
Mwisho wa sehemu ya kwanza, Hakikisha usikose sehemu ya pili ya mada hii hapo kesho.
SHARE~ TURN ON MY POST NOTIFICATION...🔔
Jana ilikuwa ni siku ngumu sana kujigawa.
Huku Irani, Huku DRC
Tuanze na DRC
Majira ya saa 10 alfajiri, milio ya risasi ilisikika katika mji mkuu wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Kinshasha
Ikasemwa kuna wavamizi wameingia kwenye makazi ya rais Felix Tshekedi
JALADA #26: - THREAD -
'WAHUNI' WALITAKA KUPINDUA SERIKALI YA CONGO-DRC?
▪︎Wana-mapinduzi wanajirekodi facebook?
▪︎Baada ya kuingia mjengoni, hawana next move?
▪︎Wamefanikiwa kudhibitiwa, ila kuna karata wameicheza, inahitaji akili kuitegua!
A Maswali Thread.
Wasaalam.
Imepokelewa kwa hisia tofauti, niwiwe radhi, lengo halikuwa kuigiza.
Ila kubwa ni kwamba tuendelee kushirikiana: yeyote akiona manusura wa ukatili wa kijinsia au kwa watoto anahangaika sana hana msaada kuhusu huduma; endeleeni kusambaza namba zangu binafsi watume ujumbe kwenye 0765345777 nakala 0734124191 Ili, niunganishe naye nguvu katika kupata huduma kwanza na kisha kushughulika na aliyemsumbua.
Changamoto hii ni yetu wote, tuendelee kushirikiana kama ambavyo tumesaidia wengi tangu kuanza wizara hii na elimu sasa inafika kila mahali.
Shukrani.
Pia Leo jioni karibuni ufafanuzi wa vipaumbele vya bajeti 2024/25 wizara ya Jamii:
https://t.co/WrYLtRroPN
*THE MATHEMATICS OF LIFE*
Life is full of Mathematics. *I find this to be Very interesting and meaningful message to share*:-
```
A = 1
B = 2
C = 3
D = 4;
E = 5
F = 6;
G = 7
H = 8;
I = 9
J = 10
K = 11
L = 12
M = 13
N = 14
O = 15
P = 16
Q = 17
R = 18
S = 19
T = 20
U = 21
V = 22
W = 23
X = 24
Y = 25
Z = 26.```
*THEN,*
```H+A+R+D+W+O+R+K
8+1+18+4+23+15+18+11
= 98%
K+N+O+W+L+E+D+G+E
11+14+15+23+12+5+4+7+5
= 96%
L+O+V+E
12+15+22+5
= 54%
L+U+C+K
12+21+3+11
= 47%
None of them makes 100%.
Then what makes 100%?
Is it Money?
NO!
M+O+N+E+Y
13+15+14+5+25```
= *72%*
E+D+U+C+A+T+I+O+N
5+4+21+3+1+20+9+15+14
= *92%*
Leadership?
NO!
L+E+A+D+E+R+S+H+I+P
12+5+1+4+5+18+19+8+9+16
= *97%*
Every problem has a solution, only if we perhaps change our
*ATTITUDE*...
*A+T+T+I+T+U+D+E* = 1+20+20+9+20+21+4+5 = *100%*
*It is therefore OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes OUR Life 100% Successful.' ' '
_This LIFE mathematics is AMAZING_
*Let's* *change* *our* *Attitude* *of* *doing* *things* *in life* ✌️😊
C&P
BUMUNDA ni kiumbe MPUMBAVU sana. Lakini najiuliza, bosi wake anaona nini ndani yake? U-maradona? BUMUNDA ametafuta ‘bluetooth speaker’, kapeleka bungeni siku ya bajeti yake, anawaambia wabunge wenzake huyo anaitwa ‘EUNICE, ni ROBOTI’, piga naye story. Ukimuuliza swali, wanagugo.
#MICHEZO: Klabu ya Arsenal imefanya majaribio ya kuvaa medali na kubeba kombe la ligi ikiamini leo itatwaa kombe la Ligi Kuu nchini Uingereza (EPL) ambapo benchi la ufundi na wachezaji wamefanya majaribio hayo hapo jana baada ya mazoezi ya jioni katika uwanja wa Emirates.
Arsenal ina alama 86 ikizidiwa alama mbili na Manchester City yenye alama 88 ambapo jioni ya leo Arsenal itacheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Everton huku City akiwakabili wagonga nyundo wa London, West Ham katika mchezo wake wa mwisho.
Kama Arsenal itafanikiwa kutwaa ubingwa leo, itakuwa ni mara yao ya kwanza tangu mwaka 2004 ilipobeba kombe chini ya kocha Arsene Wenger na ikiwa tofauti na hapo Man City ya Pep itaweka rekodi ya kutwaa ubingwa huo kwa mara ya nne mfululizo.
cc @clementthehero
#EastAfricaTV #EastAfricaRadio #EPL #PremierLeague #Arsenal
KUTANA NA TAPELI ALIYEWATAPELI VIONGOZI WENGI WA AFRIKA
No2
jamaa akachanaganyikiwa na kumpatia kiasi cha dollar million 2 ili apate ela nyingi. Bwana Dotien akamwachia manyoya na kuondoka na ela ya jamaa.
Akiwa na ndege yake binafsi na kiasi kikubwa cha ela aliruka na ndege
#TANZANIA: @TunduALissu akutana na Nesi aliyemuuguza wakati anapigwaa risasi #Dodoma anaefahamika kwa jina la Veronica Alexander (mama Dangote) aelezea mazito aliyokutana nayo mpaka kufukuzwa kazi, aomba msaada wa kisheria.
Zaidi: https://t.co/G4EedEcMpJ