Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD)
UKICHUKIA USIFANYE HAYA👇
1. Kumpiga anayetamani kupigwa!
2. Kumpiga teke chura!
3.kumchukia aliyechukia!
4. Kumchafua aliyechafuka!
5.Kumtisha Mwalimu wa vitisho!
6. Kumfukuza aliyejifukuza!
7. Kuchanganya uzalendo na usaliti!
8. Kugombana na asiye na kupoteza!
9. Kumsikiliza mshauri kuliko dhamiri!
10. Kumpuuza anayedaiwa ni mpuuzi!
BADALA YAKE:
1. Sikiliza yasiyosemwa kuliko yanayosemwa,
2. Jitahidi kutolaumu; jifunze kujilaumu. Kuna kesi huwezi kushinda kwenye mahakama ya umma.
3. Yasiposemwa uliyoyatarajia, tafuta suluhu. Si udhaifu ni hekima.
4. Yakisemwa uliyoyatarajia, mshukuru mpuuzi; waulize wapuuzi waliobaki kwa nini hawakukuambia kabla?
5. Usizinguane na aliyetoka; zinguana na waliobaki. Hao ni ndumila kuwili; kila mwenye chakula watapiga saluti.
6. Washauri ni kama wajumbe. Ni wengi mno ukiwa na chakula. Ukipata msala wote wana udhuru. Utawajua kwa sharubu zao za kufakamia pilau. Wakishiba wanamtukana yule. Chakula kikiisha wanakutukana wewe.
USHUZI WA MBAAZI NI MBAYA. MSHUKURU ANAYEKUNYIMA MBAAZI.
"Baada ya uchaguzi wa ndani ya chama, hatua ya kwanza ya Mwenyekiti Lissu alipoingia madarakani ilikuwa ni kuitisha kikao cha retreat, retreat maana yake ni kikao cha kuchanana makavu, mnajifungia pale hakuna Itifaki ya Mwenyekiti wala nini wote mnakaa kule anayewaendesha
Huyu anadaiwa Million 14 kama penalties ya kuchelewa ku file Audited financial statement 🙄🙄
Leo ngoja nikuibie Siri ya compounding effects kwenye Mambo ya Tax
Thread 🧵