@420Cousin We jamaa kama jinga hivi kweli umefatilia nini katuga kauliza na kajibiwa nini??? Ukubwa wote huo umeshindwa kutambua kuwa pale sio tissue alikua anahojiwa ball katuga,,,? Akili ndogo haijawai endesha kubwa taila wewe
@Mwabuk2Boniface Maajabu kweli kweli yaani maandamano ya amani wanawai kujibu kuna shughuli za kampeni uchaguzi wenyewe Usio na uhalali wowote alafu wamewawahi ofisini na mipolisi debe logic ndogo tu kinawashinda nini kuwepo wakaty wa maandamano ya amani na ya kudai haki..ukweli mchungu #kinyaaa
@godbless_lema@YouTube Stamina kafanya verse za akili sana hakuna alichosifia bali kaweka ujinga wanaojisifu nao wamefanya ile hali sio uhalali wao "mfano mstari alojibu wapinzani ikulu yenu segerea " kumanisha anaonesha kiburi kejeli kujisikia ubabe upuzi ujinga umewajaa wenye dhamana kwa watetea haki
DAY ONE ⛳
Helabet Code👉J6FC6
1XBET Code👉ZUDC6
Sportybet Code👉6858SS
Rt
Watu 40 niliwapa mtaji wa 10K jana usiku, Kama hujapata Retweet hapa kisha tuma namba yako DM.
Betting ni Hesabu.
Ukiwa na mtaji na ukaacha tamaa huwezi kuichukia Betting.
Hii program itaanza Ijumaa hii, itakuwa kampuni nne kwa wakati mmoja (Sportybet, 1XBET, DB Bet na Helabet)
10K utavuna 680K
100K utavuna 6.8M
📌
Kama huna mtaji Retweet kisha tutumie namba yako DM.
Nina mkeka huko Sportybet odds 850+ leo Jumamosi hadi Jumanne.
Mechi 50, goli 1 (over 0.5) mechi 30, goli mbili (over 1.5) mechi 17 na 2UP mechi 3.
NB: Code inatoka leo saa 16:00
🍟
Retweet upewe code mapema.
@pastorzacq @Nyonyoma1 Aseee usilolijua ni saw na usiku wa gize hao wawili na wajua mno tena Saaana background zao mpk anafika kuitwa pastor kaanza akiwa mdogo Sana since form one Angel house sec na dada Anaitwa Lucy aka Lucy tembo Maisha waliyopitia kulia ni haki ila they are blood brother and sister
@HKigwangalla We jamaa punguani kweli sasa familia ya nyerere ingeng'ang'ania nyadhifa ccm wewe ungepata wapi ata nafasi ya kufahamika... Mimi NINACHOJUA akili ndogo haiwezi endesha akili kubwa same same kwa ccm kwa cdm. Usomi wa bure wazazi wako wamepata hasara kwa upande wa busara nyooooooo
TL Kabeba Maono na Anasimami na kulinda Maono.Wengine wamebeba chama chao na kusimamia na kulinda chama .Twende na Chama au Maono.
Tundu Antipas Mugwai ni mtu mwenye misimamo thabiti na mwenye akili bora ya kuwa sehemu ya harakati yoyote ya upinzani yenye uaminifu. Ni mtu wa kuaminika, anayestahili kupewa imani, na mwenye uadilifu wa hali ya juu.
Si tu kwamba wananchi wanamuhitaji kwa hamu, lakini pia utofauti na uwajibikaji katika harakati za upinzani vinadai hivyo.
Ninaweza kumuweka madarakani kwa kujiamini. Yeye ni zawadi ambayo Watanganyika wanastahili kupewa.
Kupiga Kura kwa Maslahi ya Mageuzi ni kumpigia Kura ya Ndiyo Tundu Antipas Mugway Lisu kwa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA