Kizazi cha leo kitu chenye thamani ni hela peke yake.
Unaweza mfanyia mtu vitu vyenye thamani kubwa kuliko pesa ila kwakua siyo pesa havitakuwa na thamani machoni pake..
Siku ya mwisho ya mwezi sio mwisho tu, ni uthibitisho kwamba Mungu amekufikisha hapa. Tenga muda kumshukuru kwa kila ushindi, kila somo na kila maombi ambayo hayajajibiwa ambayo yalikulinda na yale ambayo hayakukusudiwa kwako.
Maliza mwezi kwa shukrani na uingie mpya kwa imani.
Tunadate na watu ambao wametoka kimwili kwa "ex" zao lakini akili na moyo upo kwa "ex"
Tunadate na watu ambao hawajamaliza kupenda watu wao wa mwanzo tukitegemea kupata UPENDO
مشاعر الإنسان هشة، لدرجة أن يومه الكامل قادر أن يتعكر بسبب كلمة قاسية، أو نبرة صوت حاد، أو حتى نظرة
Hisia za mwanadamu ni laini sana, inafikia hatua siku yake yote inaweza kuharibika kwa sababu tu ya kupewa neno lenye kuumiza, au kufokewa, au hata kuangaliwa kwa jicho baya.
Ukiongea na single mothers utaelewa namna dunia ilivyo na ukatili
Ukiamua kumuoa awe mkeo hapo ndo utaanza kuelewa kwanini alizalishwa akaachwa
☆Makosa yapo kwa binadamu wala sio miti
hakuna siku nimetembea umbali mrefu kwa miguu kama October 29 aise nilitembea mpaka nikahisi nimekua muisrael ..😂😂😂😂🙌🏼🚮
RIP Wanangu Tuliotoka Ila hamkufanikiwa Kurudi.🙏🏼🙏🏼
العلاقات خُلِقتْ للرَّاحة، وكلُّ من يسرق سلامك الدَّاخليِّ لا يلزمك
Mahusiano yameumbwa ili watu wapate utulivu na faraja. Yeyote anayeiba amani yako ya ndani, basi hafai kuwa na wewe.
Dear wafalme,
Huyu manzi amelala na mtu ambaye hajawahi kumfanyia chochote.
Huyu manzi ameshamuacha Mwanaume aliyejitoa kwake kwa kila kitu.
Wanawake hawajali kuhusu hisia zako, ni wabinafsi kwa hisia zao.
Kuna mtu amekopa kiwanja analipa kidogo kidogo mwaka mzima.
Na kuna mtu amekopa simu analipa kidogo kidogo mwaka mzima.
Kisha tunalalamika maisha magumu...🤔🙌💯
Maisha Ya Hapa Duniani Ni Mapito Ya Muda Mfupi Sana Tu!!
Tanguliza Upendo,Acha Jeuri Na Dharau Na Kuwanyanyasa Wengine!!
Yawezekana Furaha Ya Familia Ya Muuza Majeneza Ikatokana Na Mauzo Ya Jeneza Lako.
Kuna watu wako vizuri sana kwenye mazungumzo na kujenga uhusiano, unakutana na mtu kwa mara ya kwanza baada ya mazungumzo unaweza kudhani mmekutana miaka miwili iliyopita