@prossoff Hii ndio hali nayo pitia Sasa na hivi uchumi umeyumba manz kapata jamaa anamuhudumia na amemuhakikishia kuwa yule mtoto wake ko mi nadharauliwa kinoma Hadi najuta
@Franklynboman@therealrigoh Kwani mlivyokuwa mnamsifia mchezaji wenu alikua anacheza mechi za aina gani kaka au fountain gate ni kiwango sawa na Simba?
Dada Kuna huyo rafiki yako wa Kiume
unamueleza mpaka stori za mpenzi wako,
mnapeana ushauri, ila ukweli nyuma ya pazia
anakupenda sana ila anajikaza tu ameamua
muendelee kuwa washikaj..๐โฃ๏ธ๐ช