@HecheJohn ๐๐๐ ati mara ya kwanza miaka yote Wazanzibari wanauliwa/kuonewa kulikuwa hakukutambuliwa, wapenzani wanaonewa na kesi zikifunguliwa ila wapi ?
1995 - 2001 - 20010 - 2012 - 2015 - 2020. ya nyuma kabla ya 95 tuyaache๐
ndio maana Maalim SEIF hakutaka kujiunga na upuuzi wenu.
@HecheJohn Zamani gani unayo isema mbona vichekesho au kwasababu nyinyi mlikuwa mkifaidika kwemye serikali maana yake hakukuwa na wingi wa watu wakipoteza hakizao
@George_Ambangil ngumu sana kwa Ammorine kufanikiwa asipokuwa makini. hawa wachezaji siyo wa aina wa mfumo wake na timu haitaki kutumia pesa.
NITOE TU POLE AMMORINE KWA KITAKACHO FUATA
@MarekaMalili KWA SISI WATU WA IMANI YA KIISLAMU HUO NI MSIMAMO SAHIHI MTU ANATAKIWA KUFATA.
KUIFANYA FAMILIA KUWA DUNI KISA NI WEWE TU KUJIPENDELEA ZAIDI YA WAO (FAMILIA) SIO JAMBO ZURI
@dicksonjemz@HecheJohn taarifa yako ya kukamatwa mahambuliaji umeitoa wapi ?
maana ata uyo dogo wa juzi pia kasingiziwa sio yeye muhusika hawajamkata.
Ndio maana mnapelekeshwa ovyo ovyo tafuta taarifa kwa makini na ujiambie unasubiri kulishwa
@siadevinci Wao wakiulizwa pesa za tone tone na michango yote iliofanyika hawatoi jibu. huku wao wanamajumba ya serufi tisa na kuendelea.
wanatoa wapi pesa za kujenga nymba ya thamani izo ?
@HildaNewton21 yaani chadema mumetoka kujadili mambo ya umuhimu mushanza kushambulia watu haya.
mbona nyinyi mali mnazomiliko hamjazitangaza wazi ili watu tujue mnatoa wapi ?
Pesa za chama chenu tu mumeshindwa kusema nani kazila au zipowapi na kiasi gani.
@George_Ambangil hii sio sahihi ilipaswa iwe asilimia 10-20 ya mwili sasa kwa apo ni zaidi ya 50-70 tutuwashusha sana thamani mabeki na kuwapa urahisi washambuliaji