|Agriculture expert and Consultant||SUA Alumni||Creative||Projects design & Operator|| Soccer Fancy||Social|
For Consultancy and Business: +255759960952.
@MsigwaPeter@HecheJohn Teuzi zimegoma kutiki umerudi mkia chini msigwa, 🤣🤣Sijui kama ungelamba teuzi ungesema narudi CDM. CDM inabidi wakuchunge na wakuweke mbali na siri za chama, huenda ni Project ya CCM.
@Sativa2555 Ila sativa hii familia unaitesa sana, hawapumui unatoka Kwa mama unaenda Kwa mtoto, mixer chenga kidogo upo Kwa mkwe.,😅😅 Siku wakikumata hao 🤣😅😅
@prossoff Kusema ukweli Kila kitu kinapiginaniwa, Wao(Influencer) Hadi kuaminiwa na watu, jua mikeka yao inawalipa hao watu, pili makumpuni hayafanyikazi na watu wasio na influence(wanaoaminika) kwaiyo, Baraka anajaribu kuharibu brand za watu bure, Ajaribu na yeye kutoa Odds kam ni rahisi.