Na nyinyi warembo mko huko DM yangu mkisema hey nataka mjue sahii mimi I am a high value man,with valuable assets. Mimi sahii level niko chakula nakula na ile Uhuru anakula hakuna difference. The only difference between me and Uhuru is the number of zeros in our account. Otherwise lifestyle ni moja. Mimi ni mtu naishi nyumba iko na lift,sichoki nikipanda stairs kama wildbeest,nachoka tu nikifinya button ya kupanda 6th floor.
Kama ni mashamba niko nazo,niko na 30 by 60 fertile land in Rumuruti. Nimeachiwa na nyanya yangu Sarah kinyanjui juzi. Pale nikimwaga kitunguu ningoje miezi tatu nishaingisa 5 millions. Sasa kama unajua wewe ni wale wa kuomba fare,mara sijui nails,bwana me and you cannot go anywhere. Wewe ligi yako ni hawa vijana wa juja,wakuvuruta bangi na maji ya tap. Mimi nataka mtu nawesa pigia simu namna hii,namwambia bebi niwekee 1 million nimekwama kwa lift,ananiwekea tu bila maswali. Si ndio maana nilihamia karibu na karen. Unajua hatuchesi raondii! Wui! Jowiii! Jowiii!!
Kuna babe amesema huko Instagram kwa Uncle Ed, " After touching small small money in her stable big girl job, men umkalia gunia za waru.” 💀😭
And when I say money will change me, this is exactly what I mean! 😂🤣
I remember when I was at this nigga’s house and his other girl left her jewelry ati Kumark territory, nilitoka huko blinged out Kama rappers wa Atlanta ,territory manade call me 2chainz😭