ุจุนุถ ุงููุงุณ ููุถูููู ุฃู ูุนูููุง ุชูุฏูู ูุ ุนูู ุฃู ูุฑูู ุชุตู ุฅูู ุงูู ูุงู ุงูุฐู ุนุฌุฒูุง ุนู ุงููุตูู ุฅููู
Baadhi ya watu hupendelea kukuzuia usipige hatua, kuliko kukuona unafika sehemu ambayo wao walishindwa kufika.
ุจุนุถ ุงูุนูุงูุงุช ุงุจุชูุงุก. ูุง ูุญู ุจูุง ุณุนุฏุงุกุ ููุง ูุญู ูุณุชุทูุน ุงูุฎูุงุต ู ููุง
Baadhi ya mahusiano ni mitihani na majaribu. Hatuna furaha kwenye mahusiano hayo, na wala hatuna uwezo wa kuyavunja mahusiano hayo.
ุงูุจุนุถ ูุฑุญู ุฅุฐุง ุงูุชูุช ุงูู ุตูุญุฉุ ูุงูุจุนุถ ูุฑุญู ุฅุฐุง ูุฌุฏ ุจุฏููุงู ููุ ูุงูุจุนุถ ูุฑุญู ุนูุฏู ุง ูุนูู ุจุฃูู ุจุญุงุฌุฉ ููุ ุฌู ูุนูู ูุฑุญููู ูููู ูุฎุชูููู ุจุงูุฑุญูู
Baadhi yao huondoka na kukuacha baada ya kuisha maslahi. Wengine huondoka baada ya kumpata yule atayechukua nafasi yako. Na wengine huondoka wakati wanapojua kuwa unawahitaji. Wote hao huondoka, lakini wanatofautiana sababu ya kuondoka.
Ndege Warukao Utawaona Wengi Wazuri Wa Rangi Na Shape Tofauti Tofauti Na Huo Ni Uumbaji Wake Mwenyezimungu Lakini Kwenye Uchaguzi Wako Ogopa Kumfuga Ndege Anayeamini Hastahili Shida Kutokana Uzuri Wa Rangi Na Shape Yake, Fuga Ndege Anayejua Kuna Kiangazi Na Masika
Huba, nalo linamgawanyo kama ilivyo riziki. Usipendwe na huyu, ukapendwa na yule. Nabii Yusuf alichukiwa na ndugu wa karibu, akapendwa na jamaa wa mbali.
#Huba