🌍Petroleum Geologist & Energy Analyst|🗳️Former MP Candidate(CCM)|📣 Political Pundit |🇹🇿Tanzanian Patriot|Delving deep into energy & politics|Let's dive in!
Safari yangu ya Mwaka 2020: Changamoto, Maono, na mwelekeo Baada ya Miaka 3 ya kugombea Ubunge.
Mwaka 2020, nilijitosa kwenye medani ya siasa, nikiwa na lengo la kuleta mabadiliko kwa kuchukua fomu na kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge.
Mbunge mstaafu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Mjeolojia Godfrey Tara (kulia)akichukua fomu za kuomba ridhaa kugombea ubunge jimbo la Ubungo Kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM kutoka Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo
This guy takes his job seriously 😂
When you see this truck on the highway, you're supposed to follow not try to pass like some of these idiots try to do. It's there for a reason which you see towards the end of the video.
You could be right but there isnt any reliable and efficient replacement for Fossil fuels that is affordable...fossil fuels are still very much needed by humanity...that brings the need to manage their emissions in the midst of the chaos they cause
Kituo cha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kimewasha turbine ya tatu ya umeme wiki hii,Sasa ni Turbine namba 7, 8 na 9 ziko kazi na kila moja inazalisha MW 235,kufanya jumla ya MW 705! Ambapo ni ongezeko la Asilimia 37.66 kutoka kwa uzalishaji wa 1,872.05 MW wa vyanzo vyote .
Kituo cha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kimewasha turbine ya tatu ya umeme wiki hii,Sasa ni Turbine namba 7, 8 na 9 ziko kazi na kila moja inazalisha MW 235,kufanya jumla ya MW 705! Ambapo ni ongezeko la Asilimia 37.66 kutoka kwa uzalishaji wa 1,872.05 MW wa vyanzo vyote .
Mradi wa Julius Nyerere (JNHPP) na Faida Zake kuu:Mradi huu mkubwa, wenye uwezo wa kuzalisha MW 2,115,utapandisha uwezo wa Tanzania katika uzalishaji wa umeme hadi MW 3,987.05. Huu ni mchango wa asilimia 53.05 kwa jumla ya uzalishaji na kuwa na Energy surplus kuweza kuuza nje
Tanzania ni taifa lenye ukuaji wa kasi kiuchumi katika Bara la Africa, likikumbana na changamoto mbalimbali katika uzalishaji wa umeme. Kwa mtazamo wa kimkakati, hebu tuangaze mambo makuu kadhaa na Jitahada za Serikali ya awamu ya 6 katika Hili .