Izo Proton na Elecron ni Quantum , so what is quantum?
Quantum is Physics.
So love is Physics,,,π€£π€£π€£
And what is Physics?π€
Physics ni Sayansi
Kwahiyo ππ€£ Kamaa Fasihi ni sayansi ya lugha
Mahaba ni Sayansi ya Mapenzi π€£π€π«
@George_Ambangil offense na goal
A goal should stand if there was no any offense
The offense
Hakimi hakuwa na interest yoyote na mpira alikuwa kumzuia jamaa asipige header so 5050
1.why refa hakuiazama VAR
2.hakimi alidondoka ikawa foul je. Angedondoka yule jamaa ingekuwa penalty
Goal halali
MHUBIRI 1:8-9 "Mambo yote yamejaa uchovu usioonekana, jicho halishibi kuona wala sikio halikinai kusikia yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako ; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka ; Wala jambo jipya hakuna chini ya jua"