@HecheJohn Ushawahi jiuliza akija biden hapa idadi ya misururu nayo inaongezeka tofauti na akiwa kwao marekani..so ipo challange ya kiusalama Africa ..vitu viwili tofauti kabisa...sikutegemea kama ungelifananisha hili na matumizi ya fedha ndugu heche.
@RailaOdinga What oppression do u mean?? And thats u fans and not all kenyans?? U should understand that baba. Dont destruct our economy ..under the umbrella of oppression
USIJARIBU KUFANYA BIASHARA HII KWANI UTAKUWA TAJIRI SANA NA UTACHUNGUZWA.
Fikiria unataka nunua nyumba Yenye thamani ya MILLION 200 na kwenye Account una MILLION 50.
UNYAMA HUU UNAITWA
(REAL ESTATE)๐ฅ
Ngoja nikuelekeze unavofanywa.
Tutafanya na hesabu kidogo
๐งต๐งต UZI
@kigogo2014 Hahahahha huyu sio kigogo ...huwez sema prof kashindwa kununua chai 2000 anaongelea asilimia kubwa ya wananchi wa kipato cha chini sio yy ..yy kakosa nn kwan?? ..nasema tena huyu sio kigogo ni punguani fulan tu kaamua kujiita hvyo.