TAS Morogoro ilitembelea watu wenye Ulemavu wanaofanya biashara wilayani mvomero, ili kuwaunganisha na wafanyabiashara wakubwa wenye biashara zinaoendana na zao ili kuwajengea uwezo mkubwa, kuongeza uzalishaji na kuweza kukuwa kibiashara
@fcs
@twepsn2
Kwenye picha ni Mnufaika wa mradi wa SEEPA mama mwenye watoto wenye Ualibino alie ongeza thamani katika biashara yake ya kuuza chupa za chai baada ya kupatiwa mtaji na shirika la ADRA Tanzania kupitia mradi wa Ajira na ujasirimali kwa watu wenye Aalibno
TAS Mkoa Morogoro imeshiriki kuupokea Mwenge wa Uhuru katika manispaa ya Morogoro.
Wanufaika wa mradi wa fungua fursa pamoja na huduma zinazotolewa na Serikali ya Manispaa ya Morogoro waliweza kushiriki katika kuupokea Mwenge wa Uhuru
@InternewsTz@MorogoroYa#funguafursaphase2
Inclusive employment
Today we are on Abood TV, We are still discussing inclusive Employment for People with Disabilities to eliminate the gap that exists between PWDs and others in equal opportunity
#inclusivemediaproject
Distribution of protective gears for people with albinism ni kilosa, the beneficiary were students from mazinyungu primary na kilosa secondary and others PWA, with the aid of EGG Tanzania
@Education Gauge for Growth-Tanzania
Tas morogoro wemehudhuria mkutano linking and learning unaoratibiwa na https://t.co/cARDdO3Iwr katika kutekeleza mradi wa fungua furasa jijini Dar es salaam
TAS morogoro pamoja ADRA Tanzania wakiendelea kushirikiana katika swala la ajira jumuishi kwa watu wenye ulemavu
Kupitia mradi wa kilimo cha mboga mboga Kwa lengo la kujipatia kipato na lishe kwa watu wenye ulemavu
@adra_tanzania
@internews_in_tanzania
#inclusivemediaproject