Kwakweli kiuhalisia haya maisha yanataka pesa tuu, tuache kutiana moyo.
Mahitaji hayana huruma, yapo pale pale either una hela au upo doro, ni spana tuu.
'Ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumza yasiyo na maana,na ni bora zaidi kuzungumza yalio na maana kuliko kukaa kimya' _
Prophet Muhammad swallallahu Alayhi wasallaam
@MudathirLibra ๐ Sio Bongo tu hadi ng'ambo watu wamefunga maduka hapanawaza pesa Ya pango benki niliyokopa wanajuta tukisema tukae Ndani nahii Njaa situtakufa ๐ถ