Wewe ndiye unayesimamia mchezo wa kazini au mtaani? Kazi yako imekuwa rahisi mno! 💼🚀
Koba App imeongeza kipengele maalum cha Vikundi vya Mchezo ili kumpa Admin na wanachama wake uzoefu wa kipekee wa kiuchumi.
Jikwamue Kiuchumi kwa Kutumia Programu ya Simu ya "Koba"! 🚀✨
Sema kwaheri na changamoto za kusimamia vikundi vya akiba na mikopo kienyeji. Koba App ni zana ya kifedha iliyoundwa maalum kusaidia vikundi vya akiba (VICOBA) na vyama vya mikopo vinavyozunguka kufikia malengo yao
Kama kikundi chenu bado hakitumii KOBA, mnapitwa na uhondo wa Zero Stress.
Pakua au Update App yetu sasa! 🚀
✨ Uwazi Zaidi, Maswali Pungufu!
Pakua App hapa na uanze mzunguko wako wa 2026 kidijitali: 🔗 https://t.co/P2hHTslK3Q
#KobaMpya#Transparency#VicobaTanzania#KobaApp
Kikao kimeisha? Ripoti tayari ipo mezani (kwenye simu yako)! 📱💨
Tunayo furaha kuwatangazia kipengele kipya ndani ya KOBA App. Sasa viongozi wanaweza kushare "Session Report" (Ripoti ya Kikao) mara tu baada ya makusanyo kukamilika.
Je, unajua unaweza kuendesha VICOBA yenu kiganjani bila kuhitaji madaftari?
Nini utapata ndani ya KOBA?
✅ Kumbukumbu za michango (Bila madaftari!)
✅ Maombi ya mikopo papo hapo 📱
✅ Kikokotoo cha Riba na Faini (Zero errors)
✅ Forum ya majadiliano ya kikundi
Usidharau kidogo chako. Fungua KOBA leo uone jinsi akiba yako inavyokua siku baada ya siku.
Watu wengi wanasubiri wapate mamilioni ndipo waanze kuweka akiba. Lakini siri ya utajiri ni Consistency (Muendelezo).
Kuanzisha VICOBA upya mwezi huu wa Januari isiwe kero tena! 🚀
Ukiwa na KOBA App, unahitaji dakika 2 tu kutengeneza kikundi chako na kualika wanachama wote kupitia "link" rahisi. Hakuna tena kupoteza muda kwenye mikutano ya kupanga madaftari—anza kuweka akiba na kukopesha leo.
Anzisha mada ya mjadala kwenye forum ya kikundi chenu leo!
Hata kama wanachama wako mbali, kikao kinaendelea! 🤝 Kupitia sehemu ya vikao ndani ya KOBA, mnaweza kujadiliana, kupitisha maamuzi, na kupeana taarifa muhimu bila kulazimika kukutana uso kwa uso kila siku.
#kobaApp
*Urahisi wa Kuanza Upya*
Kuanzisha VICOBA upya mwezi Januari haijawahi kuwa rahisi hivi! 🚀
Ukiwa na KOBA App:
1️⃣ Unatengeneza kikundi kipya ndani ya dakika 2.
2️⃣ Unatuma "Invitation link" kwa wanachama wote (wa zamani na wapya).
3️⃣ Mnaanza kuweka akiba mara moja!
Hakuna kusubiri mikutano mirefu ya kupanga sheria—ziweke zote kwenye app, wanachama wazisome na kuanza safari! 🏁
Bonyeza link 👇 kuanza kikundi chenu cha Januari.
https://t.co/ULNuMCekxZ
We Africans have short memories; even after cruel colonization, that’s why we still embrace them and become their puppets while they use imperialism and neocolonialism to loot us dry.
VIDEO:
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema “Kama tusivyotaka mataifa mengine kutuamulia mambo yetu, ndivyo tusivyopenda watumishi wetu (viongozi) kuupunguza uhuru wetu kwa kisingizio chochote”.
Bagonza amebainisha hayo Desemba 9, 2025 kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook, ikiwa Tanzania Bara inaadhimisha miaka 64 ya uhuru.