Techcondo is an organization based in Tanzania that will empower youth by providing various technical skills in different technologies at a free or fair cost.
@Salym badala yauchaji kodi wakina meta, sasa wanawaumiza wazawa tena. wakati hawa social media wakiendelea piga pesa bila kodi. nikingereza wameshindwa enda ongea nao?
@maji_mowi leo nimepiga namba ya msaada nilichooambiwa hatuna maji week ya pili sasa kwajili mtumishi wenu yupo Likizo. kumbukumbu namba: S26Vsv2Y,
@mwauwasatz
@santgra@CStallion619@engineers_feed but the point is the voltage drop will start to drop upon the first Device in the circuit. so if the 60w comes first it will affect the 100w, hence vise versa is true for the 100w
Kama Mwanza Hata kata za mjini maji ni shida je huko pemebezoni si wanayaon kwa mwezi mara moja? @mwauwasatz nakaa isamilo nyakabungo C maji kwetu changamoto huu mwaka tokea wa kwanza nimejaza chati lsiku yanakati na siku yana rudi. ni kero nikishare hapa. @maji_mowi
@maji_mowi Hv njia gani ingine sahihi yakuripoti shida ya maji ukiacha Namba ya huduma ya MWAUWASA. Nakaa mwanza katanya Isamilo na week ya pili sasa hii hakuna maji na hio namba ukipiga ukabahatika kupokelewa hawana jibu. zaidi yakusema mpigie fundi wa mtaa, na hatuna maji wakazi?
@JamiiForums Mwanza mjini, mahali panaitwa Nyashana(nyakabungo C) kuna fisi kila siku yupo na asumbua tu na kupitapita usiku. lakini sijawahi onaga hatua yoyote ya serekali ya mtaa ikichukua.naona wao wanasubiri hili litokee. @tzparks tunarepoti wapu hili?
@maji_mowi atembelee na Nyakabungo C Mwanza. huu mtaa maji tunayaona mara moja kwa mwezi hadi hata baada ya miezi miwili. malalamiko yanatolewa, namba za mafundi unazopewe wanadai hawahusiku.