POPOTE PALE ULIPO, CHUKUA SIMU YAKO MPIGIE MAMA MZAZI/ MLEZI MUAMBIE MAMA NAKUPENDA, NAKUHESHIMU, NA TENA KAMA NIKIENDA AMA UKIENDA MAMA, JUA NINAKUTHAMINI NA MOYONI MWANGU NIMEKUWEKA β€οΈ, IKIWA MAMA AMETANGULIAβ¦ https://t.co/CvFNwE5hQX
@DadaConso Vijana lawama na malalamiko hutoka kwa mtu aliefikia mwisho wa kufikiri na kufanya....wengi wenu hapa mnaolalamika ajira na mitaji munasahau kwamba mitaji na ajira munazo mikononi mwenu, uza iko unachoandikia comment ya kukosa mtaji ili upate pesa ya MTAJI utaokusaidia kuJIAJIRI
Binadamu tunaishi kwa kuhitajiana maana hata tajiri wa dunia anahitaji binadamu kama wateja wa biashara zake....dharau,majivuno,kiburi hakitakuzika wala kukuuniua utakapo anguka
#RemainHumble