@charch0@rodgers_adai Unaweza ukafanya kazi uk lakini ukawa mpweke kwa sababu ya mambo mengi hasa utamaduni kuwa mbali na watu wakaribu na ukarudi Kenya haimaanishi kwamba uk aijaendelea
Time management is pain management.
Kadri unavyojinyima raha nyepesi ndivyo unavyowekeza vyema muda wako.
Mpira, muvi, mitandao, soda, energy - Mambo ya watoto wadogo.
Wekeza kwenye mambo yanayojenga kesho yako.
#WEWENIMGODI