A cutting edge e-Learning platform, well integrated, enabled and support scheme solution deployed using latest technology. Learn Today. Learn Tomorrow.
Au nirudi form 1 nianze kusoma tena ili nitumie @teseatz kujisomea
Sema marejesho ya vikoba yatanivurugia masomo yangu
Hii app ni nzuri sana kwa watoto na wadogo zetu kujisomea atapata masomo yake yote humu
Tablet inapatikana kwa sh 200,000
#LearnOnTheGo
First of all make sure umeifolo hii akaunti ya @teseatz .
Hii App inamuwezesha mwanafunzi wa O level kuweza kujisomea vizuri na kufanya maswali kidigitali....
#LearnOnTheGo
Wakati tunaendelea na mada mbali mbali hapa Twitter! oiiii usisahau kufollow @teseatz ni App ya kisasa kwa ajili ya elimu kwa mwanafunzi
App yenye masomo tofauti tofauti,unaingia siku nzima shilingi 100 tu huku kwa mwezi ni shilingi 3,000! Inapatikana Google Store na App Store.
Mie ni mmoja wa watu wanaohusudu matumizi ya teknologia kama nyenzo ya kupata maarifa. Ndio maana uwa na support apps kama @teseatz maana inatanua wigo wa kusambaza maarifa.
Kama una mtoto, ndugu au jamaa yupo O level basi msogezee hii mambo, it is really good.
#LearnOnTheGo
Usikubali mwanao abaki gizani hasa kwenye matumizi ya Teknologia kwenye mbinu mpya za kujifunza.
Ndio maana waanzilishi wa App ya @teseatz wameifanya iwe mahsusi wanafunzi wa kidato 1-4.
Material yote kiganjani.
Ipo Appstore na Playstore.
Pakua sasa.
#LearnOnTheGo
Weekend ndo wakati wa dogo kufanya assignments na testi....akiwa na @teseatz App ndo haswaaa....
Mnunulie tablet kwa 200,000/- au pakua #TeseaApp kisha mlipie 100/- kwa siku
Mpendwa Mzazi/ Mlezi
Hizi hapa ni hatua za kufuata ili mtoto au mdogo wako wa kuanzia kidato cha 1-4 aweze kupata App ya @teseatz kwa ajili ya masomo yake kwenye devices za Android na iOS
App hii inasaidia kupata elimu kiganjani
#LearnOnTheGo
Usikubali mwanao abaki gizani hasa kwenye matumizi ya Teknologia kwenye mbinu mpya za kujifunza.
Nakusanua tuu, App ya @teseatz ni kwa ajilibya wanafunzi wa kidato 1-4.
Full and well packed na maudhui yote muhimu.
Ipo Appstore na Playstore.
Pakua sasa.
#LearnOnTheGo
Hakikisha mtoto umemuwezesha ku access @teseatz App...kwa kumlipia 100/- kwa siku au 3000/- kwa mwezi.
Hii ni useful kwa vijana wa form I-IV kwani wanaweza kujisomea na kufanya testi Kidigitali.
Tablet moja ni 200,000/- waweza mnunulia pia
Hatua za kufuata Ili kupata #APP ya @teseatz kwa wenye devices za Android na iOS.
Angalia video hii ili umsajilie mwanao aweze kujifunza masomo ya O level kwa njia ya kidigitali .
APP hii ni usefu kwa watoto wa form I-IV.
#LearnOnTheGo
Chukua dakika zako kadhaa tazama video hii jinsi ya kujisajili na @teseatz App
Hii ni App mpya yenye programu za elimu kwa wanafunzi na walimu kwa kidato cha 1-4. Programu hii ina masomo mengi kama vile kemia, fizikia, hesabu, baiolojia, nk
#LearnonTheGo
@ManenoIzaak@teseatz Rahisi Sana Kujiunga na kutumia Haina mambo mengi hii apps ya @teseatz Itasaidia Sana katika kuwapa wanafunzi uwezo katika mitihani ya masomo yao