Annar Cassam mwanamke shupavu aliyekuwa msaidizi wa Mwalimu Nyerere. Amefariki dunia mjini Geneva. Alikuwa mhariri mshirika wa kitabu Africa Liberation:The legacy of Nyerere. Ujumbe kwa wenye kunadi uzawa, Uzalendo sio rangi au asili. Mwenyezimungu amrehemu.
Mafunzo ya ufundishwaji lugha ya pili kwa waalimu kwa wageni yamemalizika hii leo ambapo mafunzo haya yameanzisha safari nyingine ya kufanyika kwa tamasha la kiswahili na utamudi kitaifa hapa MS TCDC Usa river -Arusha
Kwa sasa ni moja ya lugha 10 zinazotumika sana kwa mawasiliano duniani ambapo ktk Afrika, Kiswahili kinatumika kwenye Nchi 13 kati ya hizo nchin6 ni wanachama wa Jumuia ya SADC - #RaisJPM39SADCSummit
Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China kwa kushirikiana na China Radio International kimechapisha kitabu cha kufundishia lugha ya kiswahili kwa wazungumzaji wa lugha ya kichina kiitwacho "Jifunze Lugha ya Kiswahili". Kitabu hicho kimeandikwa na Prof Chen Lianying
Exposure ( Tumia 'TUKI' kupata maana sahihi ya neno 'EXPOSURE' kwa Kiswahili ili Ujumbe uweze kufika kwa adhira husika na ulete maana katika Lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Asante!
Thamini Kiswahili_Uzalendo Kwanza.
Asiyesoma na akakosa exposure haaibiki kwani hujua kuna mengi hajui. Aliyesoma na akakosa exposure huaibika kwani hajui kuna mengi hajui. Asiyesoma na akapata exposure huinuka kwani hujua bila sie kujua anajua. Aliyesoma na kupata exposure hukera wanaojua kuwa anajua kuwa anajua.