#HABARI Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema Katiba Mpya inayohitajika nchini inapaswa kulenga kutatua changamoto za wananchi, badala ya kuwa chombo cha baadhi ya viongozi kugawana madaraka.
Akizungumza Julai 10 wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Polisi Ussoke, wilayani Urambo mkoani Tabora, Ridhiwani aliwataka wananchi, hususan vijana, kupuuza wito wa maandamano unaotolewa mitandaoni, akisema baadhi ya wanaohamasisha hawakushiriki kukusanya maoni ya wananchi.
Amesema Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inaelekeza mchakato wa Katiba Mpya kufanyika ndani ya miaka mitano ijayo kwa kuzingatia maoni ya wananchi na kufuata utaratibu, badala ya shinikizo au vurugu.
#EastAfricaTv
🚨LEO TUNAAMKA NA HABARI KUBWA ANZA KWA KUREPOST.
COMMONWEALTH MINISTERIAL ACTION GROUP
WAMETOA RATIBA YA HATUA ZA UTEKELEZAJI KWA TANZANIA NDANI YA SIKU 30, 60 NA 90
Pamoja na mambo mengine Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imepewa siku 30 iwe imetatua suala la kuzuiliwa kwa Mhe. @TunduALissu kupitia njia ya kisiasa na kisheria lakini pia kuwaachilia huru watu wengine wote wanaoshikiliwa kwa sababu tu ya kutumia haki zao za msingi kwa njia ya amani.
Ndani ya siku 60 wameambiwa warejeshe upatikanaji kamili wa majukwaa ya kidijitali (digital platforms) kusitisha vitendo vya vitisho na unyanyasaji dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya siku 90 wahakikishe waitishe jukwaa la kuaminika na shirikishi la mashauriano kati ya vyama vya siasa, likiwa na wawezeshaji wasioegemea upande wowote yani Jukwaa hilo liwe na mamlaka ya kujadili na kukubaliana kuhusu marekebisho ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, suala la watu waliowekwa kizuizini na uwajibikaji.
Lakini pia wametoa Onyo la Septemba 2026 kwamba Tanzania imeamriwa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mambo hayo kabla ya mkutano maalum utakaofanyika Septemba 2026.
Onyo la Novemba 2026 (Hatua Kali): Jumuiya ya Madola imetoa onyo la mwisho kwamba isipoona maendeleo yoyote kufikia Novemba 2026, itachukua hatua kali zaidi dhidi ya Tanzania (ambayo kwa sasa tayari ipo chini ya uangalizi kwenye Agenda Rasmi
Acha kuendelee kuwaka.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Hapa ni Kigamboni Kivukoni - Dar es salaam.
Kila siku hapa huwa panakuwa na nyomi lakin hakuna watu kumepoa.
Gen-z wameamua kusimamisha shughuli zote za nchi, wapiga Total shutdown 🙌
#77Tunatoka
Maandamano yamefanikiwa. Maduka yote yamefungwa huku Sinza, biashara leo zitazorota, Matamko ya maandamano ndo yanaamua watu wakae ndani au watoke.
Sasa tutaishi hivi hadi lini, kwa hali hii uchumi utakuaje.
Watawala wajitafakari maana tutafanikiwa kutisha watu watatishika watakaa ndani sawa lkn ndo imesaidia?
Picha inayoends duniani si kwamba kuna AMANI bali kwamba kuna wanajeshi mitaani kama kuna vita!
Kisa? Mnaogopa wananchi wenu!
Kwa kifuoi hakuna amani na hakutakuwa na amani hadi haki ipatikane!
Hakuna serious investment, hakuna misaada ya maana itaingia!
Mnaharibu nchi ili hicho kimama chenu kiendelee kukaa kwa njia haramu!? CCM wote akili zero isipokuwa wazee wachache waliokemea! Ukombozi ndo huu! Tumebanana hadi kimeeleweka!
#77Tunatoka #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #JusticeForMo29
Hii ndio sura alipata Dangote akaona bora kwenda kuwekeza Kenya
Samia ana mgogoro mkubwa na wananchi na Dunia yote inajua
Kwa sasa Tanzania ni nchi iliyopinduliwa na kundi la wahuni waliotumia mtutu october 2025
CCM kwa akili yenu mlipuuza #NoReformNoElection sasa bomu linakwenda kulipuka hapa ni hatari tupu
Siku ya 7/7 ni siku ya MAANDAMANO ya kitaifa na mpaka sasa yamefanikiwa kwa asilimia 100%.
Nchi nzima ipo ndani kama UTUMBO. Hii ni siku ambayo WAKOLONI WEUSI wamekuwa wakiitumia kukusanya mapato makubwa ya KODI kupitia biashara za 7/7 ila mwaka huu watakula walikopeleka mboga.
HAKUNA SERIKALI BILA KODI ZA WANANCHI-WANANCHI WAMEAMUA KUTOKULIPA KODI SIKU YA LEO NA HIYO IMEKUWA.
MADAI YA WANANCHI YANAFAHAMIKA VYEMA.
#77Tunatoka
🚨‼️AMKENI HALI MBAYA KIFEDHA‼️
Nimesogezewa mwongozo wa bajeti huko ndani wametumiwa ili wajiandae na mwaka mpya ya fedha iliyoanza Julai 1
Ni MAJANGA!
Akina Who are You wamebana pesa kumbe si EU pekee?! Kuna mabilioni tumekosa!
Sasa hali si hali kila mwezi itabidi wapime mapato na waangalie matumizi na wamepanga KUKOPA! Watakopa kila kona serikali imefilisika kwa kifupi! Hawana jipya - yote haya ili Samia Suluhu abaki rais haramu! Haya!
Nyie maaskari mjipange hizi posho za 7/7 zikishaisha hata mshahara utakuwa ugomvi! Na bado!
Misaada hii kurejea si leo wala kesho! Biashara mnazidi kuiua kama leo mmekosa MABILIONI ya kodi ktk mzunguko wa biashara maana maduka yote yamefungwa! Hali itazidi kuwa mbaya
Tutabanana kweli hadi #TutaelewanaTu
#SamiaMustGo
Asante sana Wafanyabiasha wa Karikakoo kwa kuunga mkono Maandamano ya #7UP kwa kutofungua biashara zenu.
Leo Kariakoo imekua kama Katavi😂😂😂
Haijaisha mpaka iishe.
Macho ya dunia iko Tanzania kesho!
Tusiogope huu ni ushindi tayari kilichobaki ni kutokka na ku CLAIM VICTORY 💪🏽
DM ya @instagram mnaweza kunikuta sukumeni taarifa na video - mi nitahabarisha dunia hata ka wamezuia akaunti ya Instagram na Facebook Tanzania
Akaunti zangu zina followers wengi muhimu wa kimataifa!
Nitaendelea kuwasemeeni wapendwa MSIOGOPE! Wao wanaogopa kuliko sisi
Mungu atutangulie 🙏🏽
Sambaza huu ujumbe kwa ku copy and paste kote!
#77Tunatoka #FreeTunduLissu #SamiaMustGo #JusticeForMO29
Mnahangaika sana madhulmat 🤣 no rest for the wicked!
Narudia #WenyeNchiWananchi! Sisi ndo waamuzi wa mwisho si wao!
Sabasaba ni kutoka tu wote - hawako wengi na safari hii hawapigi risasi!
Drug addict Abdul naye kaufyata imebaki genge lake kuteka hapa na pale - tudiwsogope! Mungu kasimama!
Ni kwamba wanategemea HOFU yetu ya yaliyotokea MO29 kutukwamisha! Ila wingi wetu ndo salama yetu!
Mkiona kelele nyingi kama sasa mjue hamna kitu!
#77Tunatoka #FreeTunduLissu #SamiaMustGo #JusticeForMO29
Huyu kibaka anaitwa Luteni Kanali Sylvester Morris Mangure ni Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano ya Umma wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambalo kwa sasa linafanya kazi chini ya ccm hawa wasaliti dawa yao inakuja!