Non-Profit Organization Working on Climate Change, Conservation, Water, Renewable and Clean Energy & Youth Green Leadership. Motto: ACTION FOR RESILIENCE
Wajua?
Kuoga kwa mda mfupi kwa mwaka mzima kunaweza kupunguza uzalishaji mkubwa wa hewa ya ukaa kana inavyofanya nusu heka ya misitu ya Marekani kwa kila mwaka.
#ActNow, tunza maji na fanya #ClimateAction, ili kufikia malengo ya Mkataba wa Paris ➡ https://t.co/URUftByvyx #COP25
We would like to extend our appreciation to @OpenSocietyEA and @OpenSociety for their continued support, this #LindaUhai project proves that Tanzanian youth needs more educative & awareness campaigns in the Climate Change & environment. #TabianchiTz#ClimateAction
Hali ya hewa ikibadilika kwa muda mrefu inakuwa ni mabadiliko ya tabianchi. Haya mabadiliko yanahusisha kuongezeka kwa joto, ukame, kuvurugika kwa vipindi na upatikanaji wa mvua na mengine mengi. #TabianchiTz#ElimikaWikiendi
'Science on climate crisis is undeniable', Prince Harry says https://t.co/ggHOGdZgHh
‘It’s a race against time and one we are losing’, says Harry as he visits reforestation project in Botswana
Katika kuhitimisha zoezi la utoaji Elimu ya Mabadiliko ya Tabianchi, leo tumefanya Matembezi ya Amani Hadi katika viwanja vya Nyerere Square, ambapo vijana walibeba Mabango yenye ujumbe tofauti kuhusu kuchukua hatua dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi. #TabianchiTz#ClimateAction
Vijana mna Ndoto? ➡️ Je wajua ili kufikia ndoto zako unahitaji kuchukua hatua stahidi katika kuhimili na kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi.
Inuka na Uchukue Hatua Dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi. Sisi tumeanza wewe je?
Dodoma mpo!, njooni huku pamenoga!.
Tunaamsha hapa viwanja vya bunge hadi #NyerereSquire na mpango mzima ni elimu zaidi kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Njoo tuzungumze #TabianchiTZ pamoja na viongozi wetu. Tuweke mipango kazi na kuitekeleza.
#UNGA19#ClimateEmergency#Climate