Nimegundua kwa nini yule jamaa aliyekuwa South sasa hivi karudi bongo na akawa analalamika kwanini karudi bongo huku akiwaambia walioko huko wasirudi.
Jamaa anasema South Africa misosi bure tena supu na maziwaπππΎ
NB:Inaweza ikawa anatupanga
@Nomakatembo2 heri yakoo nduguu, mi nilifua nguo, nkadeki ndani, nikapiga push ups za kutoshaa, na kupika ugalii mkubwa π€π€ ila aliyekujaa niliishia kupiga nae stori tu