@godbless_lema Play smart, be wise and do not generate hatred to people, hawa wasaniii niwasaka Tonge tu mzee wangu. Hata wewe siku ukiwa mwenye mamlaka watakuimbia tu zile nyimbo unazotaka.
Mbona wanahabari umesikia walipigwa bit na wakatulia? Mbona hakuna hamasa za kuwaanifoloo hao nao
@godbless_lema Pesa tamu sana jamaani msameheni huyu kiumbe ambaye alishawahi kuwa mwiba kwa serikali siku ya nyuma, huyu ndo alitumika kumng'oa waziri mkuu mstaafu na hayati Mh Edward Ngoyayi Lowasa
Moja kati ya mawaziri wakuu hodari na watendaji kwenye nchi hii. RIP mheshimiwa Lowasa
@Jambotv_ Chadema mbona kama mnahama njia pambaneni na CCM na kesi ya TAML kosa la yanga ni dogo sana. Mamilioni ya dola yanaibwa na mafisadi, nchi inaliwa na mwenyekiti wetu yupo ndani nyie mnataka kubebwa na upepo wa harambee za CCM. Yanga ni Taasisi inayotoa ajira kwa watu zaidi ya mia
Maamzi ya CAS yanatoa maelekezo yapi? Cas inawataka yanga kurudi kwenye kamati ya rufaa ya TFF wao badala ya kukaa wasubiri kupokea rufaa ya yanga wameamua kupanga ratiba. Yanga wapo sahihi kabiisa hapa hakuna bodi ya ligi bali kuna kakikundi ka wazee wenye mlengo mmoja
Nimesikiliza mahojiano kati ya CEO wa bodi ya ligi na crown media na kugundua kuwa ndani ya shirikisho la mpira wa miguu kuna tatizo kubwa sana la kiuelewa.
CEO anasema CAS ni chombo cha mwisho cha kimaamuzi kwahiyo kilichobaki ni wao kupanga ratiba
Swali la kujiuliza ni >