@PolycarpMDM Hii mambo ya BASATA kwa karne hii ni ushamba tu..sana ni pamoja na controversial topics, censoring wimbo ni ufala tu na kuingilia uhuru wa kujeleza na hizi ndio dalili za kuipa serikali madaraka ya kidikteta yaliyopitiliza..
@INFLUENCERjr Why would someone assume afya ya mchezaji basing on a video ya distance ya zaidi ya mita 100. Kuna watu waliwai sema Hamza anajivunja ila mpaka leo hajapona, wote tukumbuka minor contact aliyopata Job ili injury yake ni ya msimu…hawa sio machines ni watu kuumia ni kawaida sana
@MichaelMwebe Furaha ya mpira ni magoli ndio maana washambuliaji wanalipwa hela nyingi kuliko makipa na mabeki…
Wachezaji wengi wa ndani huwa wanakosa football brain wanaishia kuwa na heka heka tu uwanjani…toka Garmondi katutengenezea Mzinze hatujapat mwingine tena kwa hivi karibuni
@1960Remija Hii timu wala sio kocha shida ni kwamba viwango vya wachezaji vimeshuka..game kama ya jana zamani ilikua wanacheza Kibwana, Mauya, Mishery na Nkane wanapata 2+ goals, Leo una Max, Pacome, Mudathiri, Duke, Okello unastruggle na goal moja…!
@1960Remija@GodiNihuli Tumemkosa Yao muda mrefu mpaka naona anasahulika wakitajwa wachezaji muhimu wanao miss…Mwenda hana mchango wowote wa maana timu ikiwa inashambulia final ball yake ni poor poor poor…
@PMadeleka Huwa napata wakati mgumu kuelewe huyu Mungu anayeshukuriwa kwa tweets..ina maana na yeye ana account yake humu au…
Mi nafikiri nyie tuonesheni tu mafanikio yenu bila kujificha kwenye kivuli cha kumshukuru Mungu
@1960Remija Azam hajawai na hana uwezo mpaka sasa wa kupishana na Yanga kwenye misimu yote, mechi yetu na Azam ni mechi yenye mbwembwe tu ila sio ya kuhamua ubingwa…Yanga anaweza akafungwa na Azam leo afu akashinda mechi zingine zote za msimu ila Azam akafungwa Namungo na kudro mechi 3