@Tigo_TZZ Tigopesa Super App is super duper!
Kwanini Tigopesa Bustisha imekua kama ya kitapeli siku izi?? Unalipia huduma kwa Bustisha na pesa hamfikii Mfanyabiashara baadae unakatwa kwamba eti unadaiwa Bustisha! Hii haijakaa sawa inatupa mashaka na huduma yenu.
CHADEMA Attorney General, Dr. Rugemeleza Nshala: @TunduALissu chose well when he appointed you. You are one of the few lawyers of real standing who still treats human rights and professional ethics as non-negotiable.
Your speech at Mwalimu Jackson Karua’s funeral was exactly what this moment needed. Clear, honest, and impossible to dismiss. Take it to heart and live it. Solidarity is not a slogan. It is how we dismantle dictatorships on this continent, beginning in East Africa.
Mama @MarthaKarua na familia yako, Mungu awape subira na siha katika kipindi hiki cha kumpumzisha baba. Tunaungana nawe kusherehekea maisha ya baba.
@rugemeleza
#MuseveniMustGo #SamiaMustGo #RutoMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee
Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu
Anyways, tuachane na huo ujinga wa CCM
EPP Group (European People’s Party Group). Ni muungano wa kisiasa wa mwelekeo wa kati-kulia (centre-right) katika Bunge la Ulaya.
EPP Group (European People’s Party Group) ndilo kundi kubwa zaidi na lenye ushawishi mkubwa zaidi katika Bunge la Ulaya (European Parliament).
EPP GROUP (European People’s Party Group) wamempendekeza Tundu Lissu kugombea Tuzo ya Sakharov (Sakharov Prize for Freedom of Thought)
Pia, ECR GROUP (European Conservatives and Reformists Group) wameungana na EPP GROUP kumpendekeza Tundu Lissu kuwa mgombea wao
ECR GROUP ni muungano wa kisiasa wa mwelekeo wa kulia/kihafidhina (right-wing/conservative) katika Bunge la Ulaya (European Parliament)
Kumpendekeza Tundu Lissu kunamaanisha wanamuona ni alama ya ujasiri na kielelezo cha watetezi wa demokrasia wanaopitia vizuizi
Kupendekezwa kwa Tundu Lissu ni tamko kwamba mapambano ya miaka mingi, yametambuliwa katika ngazi ya juu kabisa ya kitaasisi Barani Ulaya
Uteuzi huu TAL akiwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini unaiweka diplomasia ya Tanzania na mazingira ya kisiasa ya ndani katika jicho la kimataifa;
Unaiwekea serikali na taasisi za kisheria ‘presha’ ya kuendelea kuheshimu misingi ya demokrasia, uwazi, na haki za kisiasa na michakato ya kiuchaguzi
Mchakato wa kumchagua mshindi wa Tuzo ya Sakharov (Sakharov Prize for Freedom of Thought) unafuata hatua zilizowekwa na Bunge la Ulaya
Kupendekezwa ni hatua ya kwanza katika mchakato mrefu wa utoaji wa tuzo hii. Siyo kwamba Tundu Lissu kupendekezwa ndiyo ameteuliwa mshindi
Ili mteule aingie katika kinyanganyiro, anapaswa kupendekezwa na: Kila kundi au kundi la wabunge linaweza kupendekeza jina moja pekee
Wagombea waliopendekezwa huwasilishwa katika mkutano wa pamoja wa kamati kadhaa za Bunge la Ulaya kwa ajili ya mchujo wa wagombea
Kamati ya Mambo ya Nje, Kamati ya Mandeleo, na Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu. Hapa, maelezo ya kila mgombea husomwa mbele ya wabunge
Kamati mbili kuu za Bunge la Ulaya; Kamati ya Mambo ya Nje (AFET) na Kamati ya Mandeleo (DEVE), hufanya zoezi la kura ya pamoja kwa njia ya siri
Kutokana na kura hizo, wanachagua wagombea watatu wenye kura nyingi zaidi ili kuunda orodha fupi ya mwisho (shortlist of three finalists)
Uamuzi wa mwisho wa kumchagua na kumpata mshindi haufanywi na kamati, bali unafanywa na Mkutano wa Marais (Conference of Presidents)
Kundi hili hukutana faragha, kujadili finalists watatu, na kumtangaza mshindi mmoja rasmi kutoka katika orodha fupi ya mwisho (shortlist of three finalists)
Mshindi hualikwa katika ukumbi wa Bunge la
Ulaya mjini Strasbourg, France, wakati wa kikao cha pekee cha Bunge la Ulaya, mwezi Desemba
Huko, mshindi hutunukiwa cheti rasmi cha ushindi pamoja na zawadi ya kifedha ya £50,000. Hii kwa sasa ni sawa na takribani TZS 174,262,600
Tuzo ya Sakharov ni kitu gani?
Tuzo ya Sakharov (Sakharov Prize for Freedom of Thought) ndiyo tuzo ya juu zaidi na heshima ya haki za binadamu inayotolewa na Bunge la Ulaya
Sakharov Prize for Freedom of Thought iIlianzishwa mwaka 1988 kwa heshima ya mwanasayansi na mpinzani wa Kisovieti Andrei Sakharov
Tuzo hizi wamewahi kushinda watu wazito sana Duniani wakiwepo; Nelson Mandela (1988), Kofi Annan (2003), na Malala Yousafzai (2013)
Sakharov Prize for Freedom of Thought hutolewa pia kwa watu au mashirika yanayojitolea kutetea uhuru wa mawazo na haki za binadamu Duniani
Wakati Serikali Katili ya CCM inataka kuaminisha Dunia Tundu Lissu ni mhaini, Dunia inakataa kwa vitendo uongo na ghiliba za serikali ya CCM
Dunia inampendekeza Tundu Lissu kuwa mshindi wa tuzo ya juu zaidi na heshima ya haki za binadamu inayotolewa na Bunge la Ulaya. Kwa heshimaaaa.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
@godbless_lema Coz kama issue ya Passport ya MMB ulituletea hadhari jambo la uongo namna ile haikuwa sawa! Imeleta tafsiri nyingi sana n ahata kama haukuwa na nia mbaya wates wetu wamepita nayo na kutumia kama silaha of which sio sawa hata kidogo. Tuendelee kushikamana Guys
Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha.
Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu.
Nimedumu katika mapambano haya kwa zaidi ya miaka 22. Nimeenda lock-up zaidi ya mara 50. Nimezunguka nchi hii usiku na zaidi ya mara tatu. Nimewahi kuwa magerezani mara kadhaa, nimekoswa kuuawa zaidi ya mara tatu, na nimewahi kukimbia nchi.
Katika yote haya, nimekuwa nikitoa sadaka kubwa kwa ajili ya mapambano haya, ikiwemo ku-sacrifice familia yangu mara zote.
Kazi hii kwangu si ajira, si cheo, wala si njia ya kujitafutia maslahi. Ni huduma. Ni wito. Ni kama injili ninayoamini na kuitumikia.
Kwa hiyo, siwezi kuruhusu uvumi, upotoshaji au tafsiri za watu kuniondoa kwenye misingi ambayo nimeisimamia kwa zaidi ya miongo miwili.
Nitakuwa kwenye mapambano haya kwa imani, ujasiri na dhamira njema siku zote.
"Akitokea mtu awe Mwanachadema au mpenda Demokrasia na Haki, akasaliti mapambano ya kutafuta Katiba Mpya ni sawa sawa na kusaliti damu za watu waliouawa kwa sababu ya kupigania #KatibaMpya na Demokrasia."-; Mhe. @jjmnyika
The EPP Group has nominated lawyer, human rights activist and politician Mr Tundu Lissu as a candidate for the Sakharov Prize.
After surviving a 2017 assassination attempt, Mr Lissu returned to Tanzania to continue advocating democratic reform, only to face arrest, treason charges and exclusion from the 2025 presidential election, while his party was barred from participating.
His case reflects the wider erosion of democratic pluralism and political competition in Tanzania.
For the EPP Group, Mr Lissu represents a powerful combination of personal courage, democratic conviction and geopolitical relevance. His nomination affirms that Europe stands with those defending constitutional democracy and political freedom in Africa and in other partner countries of the EU. Mr Lissu embodies the defence of democracy, political pluralism, the rule of law and fundamental freedoms at extraordinary personal cost.
The Sakharov Prize for Freedom of Thought is the highest tribute paid by the European Union to human rights work.
@GeorgeTibaijuka@NjiwaFLow Swali zuri sana! Imagine mtu alikuja kutundanga live kuwa Passport ya MMB Heche aiipata kwa njia haramu! Ila @godbless_lema waombe waTz mhamaha kwa uongo huu. Ushahidi wa wanasheria umekuja live tuambie nini ilikuwa nia yako? Lema huwa unajona mtu smart sana🚮🚮
@Sativa255@MariaSTsehai Ila Lema kweli huyu takataka anajiita Nabiii hakika huyu nitapeli na mwongo sana! Damu ya wa Tanzania itamchoma na haita mwaacha salama!
@godbless_lema nikukumbushe tu wa TZ si wajinga tena vile ambayo unadhi! Jichunge sana wa Tanganyika tuna majonzi makubwa sana hadi kesho.