Aliyeandika script hii ya hii video #BILAWEE kutoka kwa @tieragee naomba apewe heshima yake.
Ila vijana wa sasa ambao ni madirector wa video watashoot saana ila #RICHIE-G bado ukongwe wake una ladha ya pekee kwenye video zake.
Shukran sanaaarrr kwa fursa hii @MsenanguFM
kwa kusimama nasi na mashabiki wenu๐๐๐
Lyrics
Tuwaone taka taka, mahasidi wao waache nyoko nyoko oooh yeah
Kwako mim nyaka nyaka, twende tucheze mapenzi foko foko
Do re mi...
#RaisWaAnasa#TieraGee#Niringe#TieraRollMusic
New Music/Video alert:
Mombasa Hub reviews Uno by @Larota_Africa ft. @OfficialMasauti and Niringe by @tieragee ft. @susumilakenya
+++Tips on how to own your own house by @AkotheeKenya not forgetting jobs, vacant houses, entertainment etc
Only on Mombasa Hub App. Link on bio
Wewe dada yangu ambaye unamcheka na kumdhihaki @tieragee leo kwamba anaolewa Mara nyingi Mara ooh umri ushaenda vipi wewe ushaolewa na unajua umri unarudi nyuma kwamba utabaki kijana milele.
Heri anayeolewa ndoa za halali nyingi kuliko anayechezewa na wanaume mara nyingi.