1)MATRIX 4 :Resurrection:
Naaam ukizungumzi MATRIX kwa wale wenzangu wa shule watasema ni Hesabu flani iv za namba namba.... Na watu wengi wa computer engeneering wanaweza kutuambia zaid matumizi yake katika graphics na mifumo mingi tuionayo ya video game na animations,Sasa njoo
The Dangerous Fatty Liver Myth: "Herbs can cure it."
Millions waste money on "liver detox" supplements, while their condition silently worsens.
Here’s the science-backed truth about fatty liver—and why NO herb will fix it:
@Exquisite_255 Jamaa ulisema mwisho wa flat earth upo huko antaktika sijui ndo mana we will never allowed to cross there nkakuuliza another ends ziko sehem gani ??? Tafadhali labda hizo zitafikika..... au flat earth with only 1 edge side???
@Exquisite_255 @Paul_Sweezy1 Oya we jamaa wa flat earth hiv unatoa wapi hizi mambo maana kama umeweza kuzi access sio kwamba wametaka na kwa namna moja au nyingine unawasaidia bila kujua au?
@fbuyobe@cityfan1tz Mara nyingi mi naonaga katika migogoro hii watu huchukua upande kwa kufata hisia(Yan unashare nini kama vile Dini,ukanda au hata asili) na moja Kati ya wahusika wa migogoro na kushawishiwa na propaganda....... War is beyond righteousness and based in disguise
@fbuyobe Jumamosi Mzee alikua lazima amuweke huyu jamaa kwa stereo... Kuna Ile wimbo jina lake pia no sehemu ya chorus......"Luambo Luanzo Makiadi" Mzee alitaja jina Hilo kwa mbwembwe wakati kibao kikiendelea