We’re pleased to share our latest article on the Zanzibar Sukuk, highlighting how this pioneering issuance is helping reshape Tanzania’s financial ecosystem. We invite you to read and share the article your thoughts, feedback, and perspectives are highly valued and appreciated...
IJUE SUKUK NA JINSI YA KUWEKEZA Assalaam alaykum, unakaribishwa kuhudhuria semina fupi ya mtandaoni kuhusu "Sukuk na jinsi ya kuwekeza" ili kushiriki jisajili kupitia link hii https://t.co/WFwOJH9yKW kisha utapatiwa link ya kuhudhuria semina.
Shukran na karibuni sana
Nawaaqidhul Islaam [Vitenguzi Vya Uislamu]
Ndugu muislamu! Namuomba Allaah [Tabaarakah wa Ta’aalaa] Akulinde Na Akuongoze Katika Yaliyo Ya Sawa,
Tambua Ya Kwamba Muislamu Anaweza Kuritadi Kutoka Katika Dini Yake Kutokana Na Aina Mbali Mbali Ya Mambo Yanayotengua/Kuvunja Uislamu, Na Anakuwa Ametoka Katika Uislamu.
Miongoni Mwa Mambo Ya Khatari Na Yanayotokea Kwa Wingi Ni Mambo Kumi. Wanawazuoni Allaah Awarahamu Wameyataja Kwa Dhumuni Utahadhari Nayo Na Wewe Utahadharishe Na Wengine ili Wasalimike Nayo. Namuomba Allaah Atulinde Nayo Na Awaongoze Wote Walioko Juu Ya Hayo Aamiyn.
Sikiliza Na Uzingatie Juu Ya Haya Mambo 10 Yenye Kuvunja Uislam.
HUWEZI KUPATA FURAHA YA KUDUMU KAMA
1.kama Huwa unafurahia watu wengine wakiumia, wakidhalilika au wakilia kwasababu yako
2.Unaishi maisha ya kuigiza ili uwafurahishe watu wengine au uendane na watu fulani
3.Kama unaendelea kushindana na kila mtu badala ya kupambania malengo yako
My perspective on terrorism is that it is fundamentally driven by economic and political motives rather than religious ones. Interested parties, in my assessment, finance these groups to further their own agendas.
Religion is merely a pretext used to deceive people and obscure the true sources of funding and support for these groups. The actual perpetrators are often mercenaries and criminals hired to destabilise countries for specific economic and political gains.
This is why terrorism often happens in strategically significant or resource-rich regions, because the purpose is to control and access the said resources.
Think about Mozambique, the DRC, Somalia, Syria, Iraq, Yemen, Afghanistan, Mali, Burkina Faso, Libya, Chad, Nigeria, and all countries affected by so-called terrorism. What do they share in common? They are either resource-rich or are positioned in strategic geographical area to control and access those resources.
Religion barely has anything to do with terrorism.
The scenes from Rafah overnight are horrific.
I’ve defended Israel’s right to defend itself after Oct7, but slaughtering so many innocent people as they cower in a refugee camp is indefensible.
Stop this now @netanyahu .
👨💻 Interviwer: Kwa hiyo mdogo wangu ulikua unataka tuwe tunakulipa shilingi ngapi?
🙎♂️Mimi: Milioni nne
👨💻Interviwer: Unaonaje tungeanza na milioni nane?
🙎♂️Me: Aah! Brother acha utani basi
👨💻Interviwer: Utani umeuanza wewe mdogo angu, aya toka nje.....
NI RASHISI KUPATA STRESS UKIWA UNASHINDA SANA KWENYE SOCIAL MEDIA, KWASABABU
1. Utaanza kujiona upo nyuma kimaisha kwa kuwaona watu mnaolingana nao umri wamekuzidi mafanikio
2. Utaanza kulishwa taarifa za uongo na utaziamini na kwasababu huna utulivu utapanic na kuishia kuumia
'Ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumza yasiyo na maana,na ni bora zaidi kuzungumza yalio na maana kuliko kukaa kimya' _
Prophet Muhammad swallallahu Alayhi wasallaam