@KennedyMmari Pia kuna milango mingi gpa inaeza kukufungulia mfano most mentorship programs za mabenki kama crdb na nmb wanachukua wanafunzi best katika sectors wanazozitaka wanawapa managment trainee prograams ambazo wakitoka apo wanaanza kazi in managment roles
@KennedyMmari Brother mmari this is the wrong idea unaambia watu GPA does matter , mimi personally kuna interviews nimeitwa na kupass kwasababu ya GPA na kuna baadhi ya maeneo yatakuajiri kulingana na GPA yako
Sipingani na swala la skills ni kweli kuna kazi ambazo zitahitaji skills zaidi
@K2grind As with all flagship gorvenment projects in tz they are built outside of cities with the presumption the city will grow towards them from airports to stadiums to even the government city built in dodoma
@GeorgexGavin Ive worked serikalini and private
government mishahara ni midogo ila kuna vijihela vingi per diems are higher na hamna pressure kazini hamna ata hzo kazi private watahakikisha uo mshahara wanaokupa uta urudisha na zaidi๐
@nickyraph Because to add nfc as a payment option it needs alot more certification from google pay, visa and mastercard more infrastructure to ensure security. Kama hapa nmb has employed tappy pay wao tayari hizi infrastructure wanazo kwaio its easier and cheaper
@shivv_roy Haya mambo haya, tourism ni industry yatatu kwa ukubwa tz, the amount of ppl that will be affected ni wengi sana from drivers to tour guides to wafanyabiashara wanaotegemea utalii
@ThabitSenior The eu provides very little in the grand scheme of things ndio maana matamko yao hayashtuagi mtu
China
Us
Uk
Hao ndio wanaeza mpa queen Jong un pressure
@Mwitah_tz Shida ya serikali propaganda zenu mnazipush vibaya same wording same pictures, same inorganic accounts 10k 30k followers what does this hope to achieve..?