@WilliamsRuto Ww ni jembe ! Baba Mungu akusimamie afrika hii Mpo wa chache endelea kusimamia na kutekeleza njozi ulizopewa na Mungu kwa ajili ya wakenya , Ila pole sana umezugukwa na watu ambao hawaoni kesho yao
@HildaNewton21@lifeofmshaba Daaaah Kama anataka kuchoma ivo vitu vyote kwa pamoja Ina maana ana nguvu gani za kufanya ivo vitu kwa wakat mmoja , Ina maana hakuna serikali aiseee huyu jamaa๐ค