Kamishna wa Elimu Tanzania Dkt. Lyabwene Mtahabwa amesema hairuhusiwi kutoa huduma ya bweni kwa Wanafunzi wa Elimu ya Awali na Darasa la Kwanza hadi la Nne isipokuwa kwa kibali kitakachotolewa na Kamishna wa Elimu baada ya kupokea maombi kutoka kwa Mdau husika.
#MillardAyoUPDATES
Mtoto John Selemani (aliebebwa na mama yake) ambaye anapatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKIC) jijini Dar es Salaam amesaidiwa fedha kwa ajili ya matibabu ya moyo na wafanyakazi wa benki ya Exim. https://t.co/A7u6gwl91n
Kesho InshaAllah baada ya sala ya Eid nitakuwa nyumbani Tandale nikitoa Mkono wa Eid kwa ndugu zangu Waislam..Zoezi hilo pia litafanyika Kariakoo likiongozwa na kaka angu Ricardo Momo..lakini pia Kilungule likiongozwa na Mkubwa fela, na Morogoro Mkuyuni likiongozwa na Boss Tale🙏🏼
Mwanahabari: Wati so gud you havu in your aaaa you have come from South Africa to Tanzania, something God for daddy?
Zari: What did you bring for pa?
Mwanahabari: Tell us, for grandma?
Tiffa: Pitsaaa
Mwanahabari: Pisaaaaaa oooooo
Ingizo maalumu kwenye team za Mpira Kodiy Fc(Constantine Barnabas Hanje RIP) alikua mmoja ya wana TOT,marafiki zake wameamua kutengeneza team kwa ajili #TOTBonanza#SimamiaHaki
Tunaitambulisha KODIY FC
Tukutane Dec 7 Kijitonyama Grounds