Kutokufanya uamuzi ni uamuzi pia, na mara nyingi huo ndio una gharama kubwa zaidi.
Maisha hayaachi nafasi wazi. Ukikataa kuchagua, watu wengine au mazingira yatakuchagulia. Na mwisho wake huwa mzito kuliko ulivyotarajia.
๐จ ๐ก๐๐ ๐๐ ๐จ๐จ๐๐๐ญ๐ ๐๐ฅ๐ข๐ ๐๐จ๐จ ๐ฌ๐ ๐ฆ๐๐๐จ ๐ฌ๐ ๐ฆ๐๐๐๐ง๐ข ๐๐๐๐ ๐๐จ๐๐๐๐ ๐ ๐๐ง๐๐ญ๐๐ ๐ข ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐ก๐
๐ผ๐ก๐๐ ๐ช๐ฌ๐ ๐ฃ๐ ๐๐๐ฎ๐ ๐ฎ๐ ๐ ๐ช๐จ๐๐ข๐:-
"..siku ya saba ni Jumamosi. Hivyo, kwa msingi wa maandiko matakatifu pekee, Sabato ni Jumamosi."
#TajiriLaKihaya
Katika Wakristoโฆ
Kama kuna dhehebu huwa wanasoma Biblia na kuifata na kuielewa kwa umakini saana basi ni WASABATOโฆ
WASABATO sio wababaishaji kabisaaa โฆ wanafaham wanachokifanya!
Karibuni mnipike ili nifuturu vizuri๐
โKAMA UNASOMA UJUMBE HUU, INA MAANA UKO HAI,HIYO NI ISHARA TOSHA KUWA MUNGU ANA MAKUSUDI NA WEWE.
ANAYEKUPINGA SIYE ALIYEKUUMBA, BALI MUNGU PEKE YAKE NDIYE ANAYEJUA HATIMA YAKO.
MUAMINI MUNGU NA WEKA TUMAINI LAKO KWAKE TU
ATAKUPA HEKIMA YA JINSI YA KUVUKA MTO ULIO MBELE YAKO.โ